wakuu naombeni mnisaidie hivi kwa anaaenufaika na mkopo kutoka kwa bodi ya mikopo akirudia mwaka wa masomo (mfano mtu anaaetakiwa kuendelea na mwaka wa pili anarudia kusoma tena mwaka wa...
NACTE jana imesitisha ufanyaji wa mtihani wa taifa kwa kozi ya COMMUNITY HEALTH ambapo watahiniwa wangehitimu Leo. Ombi langu kwa NACTE ni: watoe tamko wazi kama watahiniwa wataendelea na masomo...
Mfumo wa udahili wa wanafunzi wanaoomba nafasi ya kujiunga na chuo kikuu umefungwa.
Vijana bado wako kwenye mchakato wa kuomba nafasi lakini kuanzia leo jioni system imepotea kabisa hewani...
.
GPA huesabiwa mwaka UPI chuoni??
Ningependa kufahamu huu mfumo wa GPA kwa level za degree hususani ile ya accountancy, finance, banking, procurement, n.k huanza kuhesabiwa mwaka wa ngapi na...
Wanajamii forum naomba msaada wenu nahitaji nijifunze bibulia kiundani zaidi, ningependa kuelekezwa chuo kinapopatikana umri wangu ni miaka 29 nna mke na mtoto mmoja.
Mawasiliano yangu 0782887101
Sasa ni dhahiri kwamba serikali kupitia NACTE imewanyima nafasi ya kusoma vyuo vikuu wahitimu wa Diploma kutoka vyuo vya mifugo nchini! Hii ni hatari kwa sekta hiyo na wanafunzi hao ambao...
Niaje watu wangu wa Nguvu. Chuo kinafunguliwa rasmi j3 yaan trh 31 jpo wapo walioanza kufika tangu jana j5. Kwa mahitaji ya kudownld na kuprnt admission later na form nyingine ufikapo ndani ya...
Jaman nngependa kuuliza iv ukiwa unasoma chuo fakat flan je unaweza kubadili mfano unasoma MD ukasoma nursing iz it possible hususan kwa as mwka Wa kwanza
Wakuu naombeni ushauri wenu,najua humu kuna wataalam wa haya mambo.Nimehitimu form six lakini bado sijajua niombe nini ila mapendekezo yangu ni Engeneering mbili hizo,Nisome ipi, ingekuwa vizuri...
Wizara ya Mikopo Chuo kikuu Dar es salaam inawatangazia wanafunzi wote na kuwapa mrejesho juu ya masuala ya mkopo kwa wanafunzi wanaoendelea na mwaka wa kwanza.
1. WANAOENDELEA NA MASOMO...
habari wadau..
mwaka jana kila mtu aliupata mkopo hadi wasiotegemea kuupata nao waliupata.
kozi zote zilineemeka na vyuo vyote cbe, ifm, udsm, tia hadi walioomba mkopo kibahati tu maana...
Habari za jioni wanajf. Naulizia kama kuna mtu amesoma masters ya chuo cha JomoKenyata tawi la Tanzania..anipe experience yake,
wako vizuri? Kwa maana ya ufundishaji na facilities nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.