Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu habari zenu, napenda kujua wapi nitapata chuo chochote cha Afya kozi ya (Medical lab) Elimu ni kidato cha 4,(2015) Ufaulu ni Chemistry C Physics C na Biology D niliomba UDOM lkn hadi sasa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habar zenu wana jf,nauliza utofauti uliopo ktk hizo program,na ni vyuo gan vinatumia kudahil wanafunzi na ni kwa course gan
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Baada ya kukamilisha zoezi la Uchambuzi wa maombi ya Mikopo 88,163 yaliyopokelewa hadi kufikia tarehe 11 Agosti, 2016. Jumla ya Wanafunzi wapya 20,183 wamepangiwa Mikopo. Upangaji huu umezingatia...
3 Reactions
203 Replies
25K Views
Habari wakuu Naomba mwenye softcopy ya kitabu cha veterinary parasitology fourth editon by MA.Taylor RL.Cool RL.Wall Nimejaribu kutafuta mtandaoni nimeshindwa kupata free copy vinginevyo ununue...
0 Reactions
6 Replies
790 Views
Jamani batch zote tayari mbona sioni jina langu na viegezo ninavyo nisaidie nifanyeje?
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi no kijana was form 6 PCB natarajia kufanya mtihani was taifa may2017. Nikikaa shule na wenzangu hua tunajadiliana maswala ya kozi Wengi was rafiki zangu wanapendelea md Mimi npo tofauti...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
NIKO KWENYE HARAKATI FULANI NINATAKIWA KUANDAA MAKALA YOYOTE KWA LUGHA YA KISWAHILI. IWE YA VIDEO YENYE MASAA MATATU. MWANAJF NIPENI MICHANGO MAKALA YANGU IHUSU NINI AMBAYO ITAGUSA MAISHA YA WENGI.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hatua za kufuata kwa Wanafunzi wanaotaka kuhama vyuo na kubadilisha shahada (degree) za kusoma
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa heshima kubwa kabisa naombeni msaada wenu mdogo wangu kachaguliwa kusoma architecture mwaka huu (KWA SABABU MAALUM SITAJI JINA LA CHUO) sasa kwa bahat mbaya kapata taarifa kuwa kuna mtiti...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Husika na kichwa cha habari. Kwa anavijua vyuo vya kusomea kufundisha nursery shool. Tafadhali msaada
0 Reactions
1 Replies
4K Views
wasomi naomba msaada wenu. Nimechaguliwa kujiunga na degree ya socialogy lakini nahitaji kubadili nisome public relations(open university) inawezekana?
1 Reactions
4 Replies
940 Views
Habar wakuu poleni na uchovu wa kazi ni imani yangu nyote ni wazima Mimi ni mwanafunzi kati ya wanafunzi waliochaguliwa na TCU katika chuo kimoja hapa mjini kutokana na HESLB kunitenda najianda...
7 Reactions
64 Replies
6K Views
Wapendwa naomba kujuzwa kuna mwanafunzi amechaguliwa kujiunga na chuo Mkwawa..awali jina lake lilionekana kwa wanufaika wa mkopo kwenye batch ya kwanza lakin alipofika chuo baada ya kukamilisha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Niko Ngara-Kagera Natafuta Mwalimu Wa Shule Ya Msingi Wa Kubadilishana Nae Wa Moshi/Arusha Aje Kagera.
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Wakubwa Shikamoo, wadogo habari za saa hizi Jamani naombeni ufafanuzi juu ya technician certificate NTA level 5 na diploma mtu ukachaguliwa NTA level 5(miaka2) ukasoma na kumaliza na ufaulu mzuri...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Chuo Kikuu cha Dodoma kimeendelea kuonesha jinsi kinavyojari wenye kipato cha chini. Kuna kitu kipya kimeleak. Kuanzia mwaka huu kama una mkopo chini ya 100% unaweza kufanya usajili kabla hujalipa...
5 Reactions
52 Replies
5K Views
Ivi nacte wametoa tena option ya kubadili program na vyuo?
0 Reactions
5 Replies
994 Views
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kupitia Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) jana October limetangaza matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba huku ikionesha kuwa UFAULU umepanda kwa asilimia 2.52...
2 Reactions
7 Replies
42K Views
Kama mnavyofahamu teyari serikali imeshaandaa mtaala mpya na baadhi ya walimu washaanza kupata mafunzo ya mtaala huo mpya..... Yapo baadhi ya mambo mazuri katika mtaala huu ambayo mimi binafsi...
1 Reactions
1 Replies
853 Views
Daaah hii serikali yetu ya mwendo kumnembe aka mwendo kasi ni noumaaaa. Hii ni baada baada ya wanafunzi wapatao 25 kushindwa kupelekwa Algeria kwa ajili ya kupata shahada zao. Wengi wa wanafuzi...
2 Reactions
0 Replies
868 Views
Back
Top Bottom