Ndugu zangu mimi nilihitimu diploma mwka 2009 na kupata GPA ya 2.9 kwa bahati mbaya sikuwa na Pesa ya kujiendeleza kwa kipindi kile kwa maana ata hiyo diploma nilikuwa najisomesha mwenyewe...
Kwa wanafunzi ambao wameaply ktk round ya NNE na ya mwisho hasa kwa ngazi ya cheti na Diploma mpaka sasa kwenye profile zao hazijatoa majawabu ya wapi wamechaguliwa. Kwa mwenye kufahamu ni lini...
BEDECCA is an NGOs which deals with educating and counseling societies about the negative effects of absenteeism, and the importance of education to children.
Some of communities do not know the...
Habarini wanajamvi.
Mnamo tarehe 17/10 kun tangazo la TCU lilisambaa kuhusu kufanya uhakiki. Lakini mimi nimejitahidi kutafuta namna ya kufanya lakini nimeshindwa. Kama kuna aliyeweza atujuze...
Tanzania: JPM - No Student Will Miss Out in Loans
Tagged:
East AfricaEducationGovernanceTanzania
Tweet
Share
Google+
By Deogratius Kamagi
Dar es Salaam — President John Magufuli yesterday assured...
Kwa wale tunao soma masomo ya sheria na mlio maliza waalimu mtusaidie kutuelekeza hapa masomo mbalimbali,tutashukuru kwani nafahamu siko peke yangu,msaada zaidi
Ni mwezi mmoja na wiki moja sasa tangu tufungue chuo (MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY) hatujapata fedha ya kujikimu na hatujafaham sababu kuu ya ucheleweshaji huu.
mateso haya tunayoyapata sisi...
Habari za mda huu ndugu zangu wapendwa wanajf. Naomba msaada juu ya hili, Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza na kwabahati nzur nimepata mkopo lakin sjajua nivipi naweza jua asilimia...
Baraza la Mitihani la Taifa limetangaza matokeo ya kumaliza elimu ya msingi (PSLE) ambayo yameonyesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 2.
Akitangaza matokeo hayo leo (Alhamisi), Katibu Mtendaji wa...
Nimesomaa habr katika gazeti la mwananchii kuhusu baadhi ya shule kufutiwa matokeo ya darasa la saba na nyinginee ni shule za binafsi zinazotoza gharama kubwaa nimeskitikaa sanaa na nimeanza...
Habari zenu wanajukwaa, Nawapongeza kwa ushauri chanya ambao mmekuwa mkitoa katika jukwaa hili.Nilitaka kujua kama kwa mfumo wa elimu yetu Tanzania unaruhusu mtu kusoma bachelor degree zaidi ya...
Habari wadau, kwa ambao wamepita na wanaosoma au wanaijua open university ninaomba kujuzwa ada yake pamoja na direct costs kwa ujumla hususani kwenye kozi za BBA.Nimejaribu kupitia website yao ila...
Namkumbuka DC aliyeamuru waalimu watandikwe bakora huko kagera Albert Mnali hivi ingekuwa ni zama hizi za hapa kazi tu maamuzi yangekuwaje? JPM angemfuta kazi?
Ni mwanachuo wa chuo kikuu cha dar es salaam,naomba udhamini katika masomo yangu.
Kwa taasisi binafsi,shirika, mtu binafsi anaemiliki shule ya private,naomba tuwasiliane.
Nachukua bachelor of...
kutokana na kutokuwa na msimamo mkawa mnaongozwa ongozwa tuu kama hamjaenda shule sasa tunachotaka rudisheni pesa zetu za application tulizo zitumiaga ktk maswala mazima ya kufanya application za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.