Habari zenu wakuu
Kimsingi kumekuwa na mambo mazuri na chanya yanayofundishwa katika vyuo mbalimbali nchini zinazohusiana na mambo ya elimu lakini umekosekana uwepo wa kumuandaa mwalimu kihalisia...
Nielewavyo mimi hizi ni taasisi mbili zinazofanya kazi kwa kutegemeana sasa napata wasiwasi juu ya utendaji wa hizi taasisi hivi hawa TCU zile course za arts hususani BaEd and Beds kuwekewa...
Habarin ndugu zangu,, huu uzi nauanzisha kwa kuwaweka pamoja wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika program mbali mbali katika chuo kikuu cha dodoma,, kupeana taarifa za awali kuhusu chuo na hata...
Kila siku zinavyokwenda naendelea kupata funzo zaidi ya funzo ya kwamba huwezi kujua neema uliyokua nayo mpaka ikutoke. ukisema Tanzania ya nini ujue labda hujafika Sudan. Ukisema JK wa nini ujue...
Mimi ni diploma holder mwenye GPA ya 3.2 nilomba chuo kupitia NACTE tokea mwezi wa 8. Lakina mpaka sasa majibu ni hola kwenye profile yangu wameandika wait for next selection.
Ndugu zanguni hata...
wakuu tcu walitoa chance ya watu waliokosa kuapply tena ....wakafunga system kwa ajili ya selection..then cas haipatikan....cjui na nyie mnalipata tatizo hilo
Eti unampa mtu mkopo kuanzia mwaka wa kwanza,akifika wa tatu unasema hana vigezo vya kukopeshwa!!Ni kheri usingempa kabisa kuanzia mwaka wa kwanza ili ajipange atasomaje au asiende kabisa...
HESLB wameamua kufyeka majina ya wanafunzi wanaoendelea na hakika itakuwa kilio nchi nzima na mbaya zaidi mwanafunzi kafikia hatua fulani kwenye masomo yake.
Rais p/se bajeti yao ilipitisha na...
Kwa taarifa nilizopata kutoka bodi ni kwamba j3 tar.31 oct.2016 ndani ya mwezi moja wanafunzi wanaoendelea watahakikiwa kwa kuzingatia vigezo mbalimbali vya ukopeshaji wa mikopo hiyo.
Bodi...
Dah tulipewa mkopo awamu ya kwanza na tuka sign hadi boom
lakini cha ajabu mambo yamebadilika saiv loan status inaandika "not allocated loan in the first bach" na tumeondoshewa mkopo wote
Sasa...
Kuna rafiki yangu amepigiwa simu na mtoto wake anayetarajia kuanza mitihani ya kidato cha nne jumanne ya tarehe moja kwamba amtumie fedha elfu 80 kwa ajili ya kuwahonga wasimamizi , sasa...
Wadau kuna mdogo wangu anatafuta collage ya diploma in clinical medicine au medical laboratory, naomba anaefaham chuo nnachoweza kumuombea kwa sasa anijuze kwa direct kupitia chuo husika...
Habari waungwana,
Leo mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo nchini, Abdul-Razaq Badru akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kuhusu mikopo kwenye ukumbi wa habari(MAELEZO) amesema zaidi ya asilimia...
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo Bw. Abdul-Razaq Badru akifafanua jambo katika mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam leo (Jumapili, Oktoba 30, 2016). Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.