Watu wengi wanaamini kuwa Professor ni ishara ya kuwa na uwezo mkubwa wa kujua mambo mbalimbali. Je ni professor gani unayemkubali kwa mchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa?
Habari wakuu! Leo nimejaribu kuingia kwenye mtandao wa Heslb kwa ajili ya kujaza hilo dodoso lakini naambiwa "You did not login successful"
"Sorry, you are logged into the system. If you have not...
Yawezekana mwaka huu mvua nayo ikasimamishwa kwanza ili kupisha uhakiki wa wakulima hewa....
Nawaza tu lakini maana serikari yetu kwa uhakiki wa hewa hewa duh wako vizuri.
Miaka ijayo tutakuwa hatuna wataalamu wa HISABATI....nadhani sasa ni wakati MTIHANI WA HISABATI KUCHAGUA MAJIBU A..B..C..D..E ufutwe haupimi kitu chochote....Wanafunzi haumizi kichwa kufanya...
Naomba kuuliza wanajamiiforum ivi ule utaratibu wa wanafunzi wa shule za sekondari kurudi shule kusoma masomo ya Jioni ( Remedial ) , na kutiliwa mkazo sana na serikali za sasa,,, Ni kweli mpango...
Gone are the days viongozi walikua wanasimamia maslahi ya wanafunzi wao. Kwakweli for all years nipo UDSM sijawahi kuona viongozi bomu kama wanaojiita white DARUSO.
The president hata Head boy...
Kwa mtu Mwenye ufahamu juu ya PGDE naomba anijuze kama mtu Mwenye Bachelor Degree kutoka fani zingne kama Civil Engineering, IT n. K anawezaje kuchukua Masomo ya kufundishia pindi akihitimu PGDE...
OPENING OF THE FOURTH ROUND OF APPLICATIONS THROUGH CAS na
Central Admission System (CAS)
Hizi siyo habari mpya zimepitwa na muda lakini hapa inaonekana kama habari mpya, hakuna wataalamu wa...
"There is relationship btn behaviour and life"
Members kuna uhusiano/relationship between maisha na tabia so tujaribu kuchunga tabia zetu kwakua huweza kutupa positive or negative effects...
Wakuu,
Nimeona niwashirikishe hii:
HESLB yatoa siku 90 walikosa mikopo kukata rufaa
Na Mwandishi Wetu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza siku 90 kuanzia leo...
Hapa chini ni nukuu kutoka kwa Mtanzania anayesoma nchini Marekani ambavyo anauelezea mfumo wa Elimu nchini Tanzania. Naomba tuijadili objectively kwa kuangalia tafsiri ambayo mtu anaweza kuipata...
Za mchana wadau.
Jaman me English yang sio nzuri Asa kwenye kuongea
So iwant to Learn more
Wapi nitapata British councell nzuri? na huo unajifunza kwa mda gani ?
Nikisubili mwakani kuanza chuo
Wakuu samahanini,nna ndugu yangu amechaguliwa na NACTE kwenda st.joseph university kile cha mbezi kuchukua ordinary diploma in Information Technology.....sasa hadi leo haijulikan chuo kitaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.