Habari njema kwa wote tulioandikiwa Hiyo [emoji115] [emoji115] [emoji115] ile link kwanza ime expire ni ya kitambo since October 16 ..kwahyo habari njema ni kwamba link mpya ipo njianii inakuja...
Naombeni kufahamishwa Account yangu inaniandikia YOU ARE NOT ALLOCATED LOAN IN A YEAR OF 2016/2017 AT FIRST BANCH
Je hii ni kwamba nimekosa kabisa au kuna matumaini ya kupata mkopo hapa???je...
Ndugu zangu kwanza nianze kwa kumshukuru mungu kwa kunipa afya. Lakini hasa kwa kunipa uwezo wa kufikiri juu ya Taifa langu.naleta hoja yangu kwenye jukwaa hili ili tuweze kufikiri pamoja...
*TANGAZO*
umoja wa vijana wa Chama cha mapinduzi(UVCCM)unawatangazia wanafunzi wote waliokosa mikopo ya Elimu ya juu lakini wana sifa zifuatazo:
1. Wamekidhi kigezo cha ufaulu
2.Yatima
3...
Kuna dogo mmoja namfaham brother yake ni rafiki yangu sana,kuna kipindi huyu rafiki yangu akiwa porini kufanyakaz kama hotelia huyu dogo nilibaki nae ghetto,dogo alikua anasoma kwa shida sana,ila...
Malalamiko kila kona, Pesa yenyewe ni ya mkopo si ya bure lakini bado wanapa wachache wengi wananyimwa.Hivi ni kweli Serikali haiwezi kumsaidia kila mwanafunzi aliyechaguliwa kujiunga na chuo...
Wadau kama mnavyojua prof ashasema kila continuous student mnufaikaj wa mkopo anatakiwa kuingia kwenye account yake j3 hii ili ajaze taarifa maalumu,, tatizo linakuja kila nikijalibu ku create au...
The student with Index number 'S1359.0057.2009' was not allocated a higher education loan for AY 2016/17 in the first Batch
FINAL LIST IMESHATOLEWA MAJINA 600 TU KWA SAUT.
RAIS JOHN POMBE...
Leo almost week na kitu imeisha ukilogin unakuta loan breakdown tu kila siku majina hayaji vyuoni mpaka lini sasa maaanake tunasubil kila siku hakuna asee
Jana kwenye kipindi cha kipima joto ITV kulikua na wadau kadhaa wa elimu walioalikwa kwa ajili ya kujadili upandishaji wa madaraja kwa wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu nchini. Kulikua na...
Miaka ile ya 1960's na 70's pale chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kulikuwa na Jarida maarufu lililoitwa CHECHE. Jarida hili lilikuwa na slogan yake ya "JIFUNZE KUPAMBANA,PAMBANA KUJIFUNZA"...
Baada ya wakuu wa shule za kiislamu kumuandikia katibu mkuu-Elimu wakilalamika kwa wanafunzi wao kudhulumiwa somo la Islamic knowledge, NECTA wametoa matokeo mapya wakiwapa haki zao watoto hawa wa...
Habar zenu wataalam wa manunuzii, naomba mnisaidieleo nahitaji maono yenu juu ya kesi hii iliopo hapa mezani kwangu
Ninafanya evaluation ya construction, jumla ya wazabuni 11 wameomba hii kazi na...
wana JF ..
kuna hii clip inasambaa sana mitandaoni kuhusu kauli ya rais wetu kuhusu kuwepo kwa vyuo vikuu ndani ya nchi yetu,,,,ametaja baadhi ya vyuo ambayo hapo awali vilikuwa vinatoa elimu ya...
waziri kasema walimu wanapangiwa direct mashuleni kulingana na uhaba .....kwaio ukifanya integration kisha ukamalizia na differentiation uhalisia ni kuwa mashule mengi yamejaa walimu wa arts yaan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.