Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ni takriban wiki kadhaa sasa vijana wetu vyuoni wanahangaika huku na kule kuona namna watakavyopata msaada wa amakupata mkopo au kufungasha virago kwenda nyumbani.Najiuliza katika hili nani wa...
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Ni mwanafunzi mwaka wa kwanza. Kwenye ile orodha ya kwanza alikuepo, orodha ya pili imetoka hayupo! Je, huu ni ujanja wa board ili kuweka watu wao (hapa rushwa ina nafasi kubwa na vyeo vya wazazi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kozi kati ya clinical medicine na phamaceutical science
0 Reactions
1 Replies
607 Views
Habari zenu Diploma maalum ya Ualimu wa sekondari(ODSE) iliyokuwa ikitolewa UDOM hapo awali imefutwa au la?mwaka huu sijaona taarifa ya utumaji maombi kwa waliotaka kujiunga. Kwa mwenye taarifa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Waungwana ningeomba kujuzwa Kwa yeyote anayejua chuo cha nursing kilichopo ndan ya mkowa wa daresalaam Nitashukuru kama nitajulisha mahara kilipo na kama itawezekana na ada yao pia Maana mdogo...
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Wadau tusaidieni mimi nasoma chuo kikuu cha st john mpaka sasa walioopewa mkopo ni wanafunzi 40 tu kati ya 130 Ndio tumeshaachwa au tusubiri????
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Yeyote ambaye ameapply transfer kwa degree kwenda chuo kingine na ashajibiwa atujulishe
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika kipindi cha maswali na majibu leo asubuhi Bungeni mjini Dodoma, Naibu Spika Tulia Akson ameitaka serikali ije kutoa kauli juui ya suala tete la mikopo kwa wanavyuo. Sasa hapa sijajua ni...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa. Wakuu naomba msaad kama mtu anafahamu taratibu za kufuata baada ya kupoteza academic certificate ya form four na inahitajika original kwenye registration chuon first year...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nianze kwakuonesha masikitiko yangu kwa kizazi hiki cha sasa cha wasomi uchwara,na viongozi wao uchwara,pamoja na matatizo makubwa ya wanafunzi kukosa mikopo majamaa yamekaaa kimya bila hata kuona...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jaman wana jamvi napenda kujuwa kama open university wanatowa mkopo kwa wanafunzi Mimi nimechaguliwa hapo na nimemaliza mwaka huu 4m6 ila cjui swala la mkopo kwa hapo inakuwaje msaada Tafadhali!
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Jamani, Kuna mtu kachaguliwa kusoma Bachelor of Science in Nursing- Catholic University of Health and Allied Science, amekosa mkopo. Amekata rufaa kama walivyoelekeza. Anauliza kama kuna taasisi...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Kunaa siri gani? Nasoma bure SABABU SINA pesa nafika chuo sina sifa ya kupata mkopo? Kubaguliwa kwa sababu ya course,family,age of completion, diploma,or any other means sidhani kama hizi ni sifa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimesoma taarifa ya bodi ya mikopo kuhusu marejebisho ya vigezo vya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu lakini kuna mambo mawili bado sijayaelewa, na bahati mbaya bodi wamekwepa kuyatolea majibu...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa vigezo hivi vipya vipya vya mkopo wa elimu ya juu vijana wengi watashindwa kuendelea na masomo pia tutegemee ongezeko kubwa la madada poa inasikitisha mno ili swala
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu apa cjaelewa nivoandikiwa ivii inamaana Natakiwa kujaza tenaa....kana kwamba 4th round nimekosa tena au lah....
0 Reactions
31 Replies
3K Views
[LATEST LOAN ALLOCATION TO UDOM FIRST YEAR STUDENTS (FRESHERS) | The University Of Dodoma is good...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadauu Mimi ni Mdogo wenu ambaye nimechaguliwa 4th round pale open university naomben mwenye taarifa yyte kuhusu chuo hiki anisaidie! Hasa mazingira yake na kama kina hostel pia nijuze!!!
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Back
Top Bottom