Ndugu wana jf kwa masikitiko makubwa nimelazimika kuujulisha uma Wa kitanzania kuwa elimu yetu ya juu sasa inaenda kuwa elimu ya kibaguzi na hii imesababishwa na serikali yenyewe kupitia combo...
Habarini za muda huu wakuu. Nimekuja kwenu nahitaji msaada Nina wadogo zangu nawasomesha naulizia shule nzuri za private wilayani kahama mkoa wa shinyanga ambapo watapata elimu bora. Mbarikiwe
Tanzania tumeingia katika hatari kubwa ya kuchanganya mambo ya elimu kuendeshwa kisiasa....Hali imekuwa mbaya zaidi pale ambapo mpaka waziri wa wizara husika baadala ya kutumia weledi anajikita...
Shirikisho la vyuo elimu ya juu latoa siku 7 kwa Serikali kutatua changamoto za wanafunzi, ladai kuna hujuma zinafanyika kumkwamisha Rais kwa kuwa aliahidi kwenye kampeni wanafunzi watapata mikopo...
Hivi umewahi kujiuliza kuwa ikiwa mwanao au ndugu yako wa kawaida anayesomeshwa chuo kikuu na serikali walau kwa "kamkopo" ka asilimia kadhaa na kupewa hela ya kujikimu kisha akasitishiwa ghafla...
Habarini,anayejua taratibu za kuahirisha kusoma kozi uliyochaguliwa kwa mwaka wa kwanza anipe muongozo,hakna namna hapo maana it was a plan set by our government kutupungza wanyonge tusisome.
Bodi ya mikopo ya elimu leo imekana taarifa kwamba itatoa mikopo kwa wanafunzi waloobaki yaani 5000. Kutokana na ukata unaiokabili kutokana serikali kushindwa kupeleka fedha kwa ajili ya upangaji...
Wakuu naombeni msaada mdogo wangu amemaliza kidato cha nne anatafuta chuo kizuri hapa dar kwa alama zifuatazo kozi ipi inamfaa... English D mathematics F geography C kiswahili C civics D history...
Salaam wanajukwa.
Ni karibu mwezi mzima sasa tangu vyuo vikuu nchini vianze kufunguliwa na kuwasajili wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Wanafunzi hawa kwa shauku kubwa ya kufurahia...
Kwa wanaotaka ku download matokeo haya ili kuweza kudadavua zaidi ama offline / kwenye ma database system wanaweza kudownload matokeo yote hapa kama CSEE2012.zip
Downloading: CSEE2012.zip -...
Wana jf mi ni mwanafunzi Wa Kampala university nachukua degree ya pharmacy BUT ninapoingia bord ya mkopo kuangalia kama nimepata mkopo nimekuta hivi YOU'RE NOT ALLOCATED A HIGHER EDUCATION LOAN...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.