Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wote mliochaguliwa st Jose college college ,uliza chochote ,masuala ya nyumba na hostel,ulizia masoma mitaalaaa na vitu vigne mm ndo kamanda wao asanteni sanaa
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Wanafunzi mwaka wa pili kozi tajwa hapo juu ambao ni wanufaika wa mkopo HESLB wameshindwa kupewa stahiki zao baada ya bodi kutuma majina bila allocation. Tunahitaji msaada wa mawazo tu jamani...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Makamanda wa Vyuo vikuu kuna mfadhiri amepatikana baada ya kutafutwa na makamanda wa BAVICHA. Hivyo mjiandae na kadi zenu.....
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu, Mimi ni kijana wa miaka 23, elimu yangu ni degree of Bachelor of science in Ecotourism and Nature Conservation (BSc. ENC). Tafadhali nielewesheni, nitapataje teaching license...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wale mliochaguliwa MMU uliza chochote unachotaka kujua
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu kama kuna mtu ana majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo hiki naomba anisaidie kupata majina yao au kama kuna link ambayo naweza kuyapata pia anaweza kunisaidia maana nimeingia...
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Habari wanajf nmechaguliwa bachelor of education in arts lakin sijui pakuipata join instruction naomba mnisaidie
0 Reactions
3 Replies
933 Views
Wakuu naomba mnisaidie kuhusu chuo hiki katika tawi lake la mwanza kimeanza kutoa degree maana kwa taarifa nilizonazo ni kuwa wamejikita kwenye kutoa certificate na diploma, sasa nilikuwa nataka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nidhahiri kuwa maswali mengi ya leo yalihusu viwanda,mambo ya habari na hata baadhi ya muda zilitoka pongezi tu.Ilifikia mahali maswali ya viwanda kuzuiliwa na hata kupelekea waandishi wa kawaida...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Hayati Mwl. Nyerere shawahi sema "Adui mkubwa wa maendeleo ni ujinga, maradhi na umasikini". Watu wa elimu ya juu sasa tumegeuza ule msemo na kuwa "Adui mkubwa wa ndoto zako ni NECTA, TCU na LOAN...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wanafunzi mlioko posta mliokosa mikopo hasa dit tukutane wizara ya elimu saa 7 kamili mchana leo 02.11.2016 Lengo ni kujua hatima yetu. Kundi moja tunatoka bodi ya mikopo...sasa baada ya kukosa...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
HUU UVUNJWAJI WA MKATABA WA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA ELIM YA JUU NCHNI USIFUMBIWE MACHO. Mkopo si hisani ya serikali kwa wanafunzi wa elimu ya juu bali ni matokeo ya mkataba kati ya mwanafunzi...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Ikiwa Raisi Magufuli anatimiza mwaka mmoja tangu apishwe kuwa Rais wa Nchi hii kesho atafanya mahojiano na waharirir wa vyombo vya habari! Sasa kwa ninavo wajua wahariri walivyo waoga huenda...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimeangalia now mtu kapata mkopo. Mara ya kwanza alitemwa, education ndo course anayochukua pale nyerere so wengine angalieni mnaeza kuta maajabu kama haya.
3 Reactions
79 Replies
15K Views
Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea kuongea...
4 Reactions
316 Replies
166K Views
wadau kwa anaye jua hii shule ya chunyu n i ya bweni au ya kutwa?natangululiza shukrani
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Taarifa niliyoipata leo chuo Mwalimu nyerere memorial academy kutoka kwa Afisa mikopo kwamba Next week wataachia majina 5000 yaliyobaki ili kufunga mahesabu yao ya ile idada ya elfu 25 ko subiri...
3 Reactions
19 Replies
6K Views
Habari wakuu... Shida Yangu nataka kujua jinsi ya kuangalia ile approval result ya TCU mimi ni diploma holder... Nikiandika index number yangu inaniambia not found... Sasa ningependa kujua kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
TCU CAS | View Provisional Results
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hawa hapa wanafunzi waliokosa mikopo 2016/2017. Wanafunzi waliokosa mkopo ni zaidi ya 27,000 Wanafunzi waliokosa ni ; 1.EQUIVALENT-walioomba chuo kikuu kwa sifa za diploma 2.WALIOMALIZA Form...
4 Reactions
34 Replies
7K Views
Back
Top Bottom