Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hivi huwa ukiomba transfer unakaa kwa siku ngapi kupata majibu yako? Na huwa kama umekosa wanakutaarifu?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimechaguliwa chuo cha udaktari hubert kairuki memorial University lakin sina ada na mkopo nimekosa, ikiwa ni yatima ambae sina baba,nimesoma shule za government tangu primary! Nilienda heslb...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwenye centers za open university walikuwa wanawashawishi watu apply direct chuoni moja kwa moja kwa ngazi ya degree ukiwa unaenda kuulizia utaratibu mwaka huu kumbe waongo hawatoi majina ya...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Nina shahada ya elimu nikibobea ktk masomo ya historia na uraia napatikana Dar es salaam alo tyr kunisaidia anicheki pm
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikia kwamba kuna watu walipiga dili huko kusini mwa Tanzania, badala ya kujenga kiwanda hela zilizokuwa zimetengwa kwa shughuli hiyo $20,000,000 wakaamua kuzipiga, Nimejaribu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu mm leo nimepata Taarifa kuwa nimechaguliwa chuoni hapo kusoma Computer science Bachelor round hii ya 4 ila chuo kimefunguliwa tokea trh 24 oct na masomo wameanza leo kutokana ratiba inavyo...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
huyu sister kwa kuanzisha mtandao wa Shule Direct ameonyesha kuwa mashindano ya ulimbwende yanaweza kuwa na faida. nimejiunga huko najifunza kiingereza.
10 Reactions
12 Replies
4K Views
hv inakuaje kijana anafikia hatua ya kufikiria kufanya biashara angali hajui taratibu na sheria za kufungua na kufanya biashara katika nchi yake. Then serikali ikija kumnyoosha anasema serikali...
0 Reactions
2 Replies
611 Views
SELECTED CANDIDATES TO JOIN VARIOUS UNDERGRADUATE AND NON DEGREE PROGRAMMES ACADEMIC YEAR 2016/17 | The University Of Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza natanguliza salam! Mimi ni mhitimu 4m6 mwaka huu na nimepangiwa open university ( bachelor' of science with education) nilikuwa naomba ushauli kwa yeyote ambaye amachaguliwa hapo na...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nshawah kuajiriwa serikalini kama mwalimu nikaacha nichukue hatua gani au ni process gani kurudi tena
1 Reactions
2 Replies
602 Views
:i.Ordinary Diploma in Civil Engineering ii.Ordinary Diploma in Computer Engineering iii.Ordinary Diploma in Electrical Engineering iv.Ordinary Diploma in Electronics & Telecommunications...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
By Robert John Balfour Professor and Dean of Education Sciences, North-West University South Africa’s universities are absorbed in debates about fee structures, free education and decolonising...
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Wakuu habari zenu,Naombeni mnisaidie wenye uzoefu na hivi vyuo nataka ni apply kupitia nacte wametoa tena chance,Mim nahitaji chuo cha Afya Ngazi ya Certificate na nimecheck nikaona kati ya hivi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari ndugu msaada wa haraka, naomba mwenyekujua jinsi ya kupata neno la siri niliyotumiwa kutoka nacte nimeipoteza kwajili ya kuingia kwenye mtandao kuaply chuo yan sikumbuki hata na mtandao...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza shule o level 2015 nikawa na c mbili na kuna rafiki yangu ana comb less, tunaweza kujiunga nashule ya private naomba ushauri wenu
0 Reactions
3 Replies
669 Views
Ikiwa ni siku chache tu tangu waanze usajili, wanafunzi wa mwaka wa kwanza UDSM leo wamepewa boom,huku wengi wakifurahia utaratibu mzuri wa UDSM kwa kupewa boom haraka. Tunawaasa matumizi...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Jamani nimepangwa sua mkopo umeonekana udsm nifanyeje
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Nimechaguliwa bachelor degree in human resource management through TCU na nimechaguliwa technician certificate in clinical officer (NACTE) kwa kutumia cheti cha form four Mimi nimeajiriwa kama...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom