WARAKA KWA NDUGU ADO SHAIBU
Kutoka kwa Lumen Mathias, Rais wa Serikali ya Wanafunzi, College of Humanities and Social Sciences, UDOM.
Ndugu Ado Shaibu,
Nimeisoma taarifa ya ACT-Wazalendo kuhusu...
Habari za wakati ndugu wana jf naomba msaada wenu jinsi gani naweza kudowlod vitabu mbali vya shule ya msingi na sekondari au websites nayoweza kuitumia kusoma topic mbali mbali msaada please
Ndugu wana jamvi leo kwa namna ya pekee nimeguswa na nukuu ya mwanasayansi albert Einstein ''The world is a dangerous place to live, not because of the people who are evil, but because of the...
Scholarship za Australia Zipo, where are the Young Women and Others in Tanzania?
Nilialikwa kwenye Mkutano wa Alumni wa Australian Gov. Scholarships ambapo Balozi mdogo wa Australia alizungumzia...
Workshop ya Kumalizia Application process
Kesho tarehe 9 Novemba 2016 wale wote walioanza kujaza form za maombi ya Scholarships hizi wafike Hotel ya New Africa, Crystal Hall kukutana na Wahusika...
Salama wakuu. . Moja Kwa moja rejea kichwa hapo juu. .nina ndugu yangu alimaliza certificate in nursing (NTA5) akabahatika kupata kazi, kaweza kufanya kazi Kwa mwaka moja na akaamua kuapply tena...
Tengeneza US dollars Zaidi ya 1000 Kwa Siku Kupitia Online Work Ambayo Ni Bando Zako Tu Ndiyo Zitakazo Kuwezesha Kufanya Kazi Na Kujipatia Kipato Kwa Mahitaji Yako Yote Ya Chuo ikiwemo Ada na...
Dar e salaam, Tanzania.
Wengi nadhani mlimsikia naibu waziri Jaffo kwamba serikali inafikiria kuja na mpango maalumu kuwachukua watu waliosoma masomo ya hisabati na sayansi lakini hawakusoma...
Wasalaam wana jf!
Sote tunajua hesabu umekuwa ugonjwa wa taifa kama si ugonjwa wa dunia!Hili limekuwa tatizo kubwa kwa kuwa hakuna misingi ya kuwa fanya watu wapende somo hili na hata hivyo ni...
jamani wakubwa heshima zenu... Mimi nimechaguliwa diploma in civil ila nataka niamie computer engeneering kwasabab naipenda computer kutoka moyoni lakini watu wananikatisha tamaa wanasema nafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.