Habar za mida hii wana JF, ukiachilia mbali chuo cha UDSM ambacho tayari kimeshatoa pesa za wanufaika wa mikopo, kwa yeyote anaefahamu ni lini pesa za wanufaika wa miokopo zitatolewa maana maisha...
Tuliomba nafasi ya kusoma diploma ya kozi za Afya kupitia NACTE,mkatupangia vyuo binafsi,wachache wakapata vyuo vya serikali.Hao waliopata serikali mmeamua kuwadhamini ili wakimaliza wafanye kazi...
Jamani hivi ni kweli mwaka huu mpaka kozi za afya hatupati mikopo au?
Mbona mpaka sasa kimyaa.!!
Chuo kimefunguliwa sijaripoti chuoni?
Wenzangu washaanza kusoma!!
Je serikal mnatuangalia vp?
Jaman...
Katikati ya mwezi wa Oktoba mpk mwanzoni mwa Nov.kulisikika kelele nyingi sana kuhusu wanafunzi wa vyuo vikuu nchini.Kwa tathmini ya haraka wengi walikuwa wanalalamikia kukosa mikopo,wengine...
Jamani mimi nimerud tena kuuliza swali mnisaidie tafadhari...
Nimejaribu kujaza form ya mkopo lakini kuna kipengele cha kuonesha kama ni yatima au wazazi wako hawana uwezo au una mzazi mmoja.
Sasa...
Leo nimepata bahati ya kutembelea chuo cha elimu ya biashara CBE , Ambacho kinapakana na chuo cha DIT kwa kutenganishwa na ukuta tu. Nimeshuhudia vijana wa DIT Wakiwa makundi makubwa nyuma ya...
Naombeni msaada nimefanya transfer lakini leo nimeangalia kwenye account yangu ya loan nimepata mkopo,je nitaupata mkopo wangu katika Chuo nilicho hamia?
ni baada majina mengine kuletwa Mwalimu nyerere memorial academy ya mkopo yakiwa yamenakishiwa kwa maandishi yanasomeka kuwa "BANCH NAMBA 5" ili hali yalikuja majina 151 tu mara ya kwanza sa hivi...
Oy wadau anayejua maswali hyo atiririke bas yanamaanish nn? 1.what do you understand by Hamitic myth? Has this theory had any influences Africa in the 19century...
WANAFUNZI wa Chuo cha Elimu ya Biashara cha Dar es Salaam (CBE) wamemwomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenda kujionea changamoto zinazowakabili kabla ya Siku ya Mahafali yanayotarajiwa kufanyika...
Naomba kujuzwa juu ya hili suala la supplementary na mikopo. Je ni kweli ukiwa na supplementary hupatiwi mkopo? Na kama ni kweli serikali ina mpango gani na elimu yetu? Hivi mnadhani vyuoni...
Michurinsk state university is one of the affordable and credited universities in Russia. The university is situated in a small town called Michurinsk, Tambov state, Russia. Admission is open all...
Ni binti wa kimasikini hatamani tena kuishi.
Anashindwa kuendelea na masomo japo amechaguliwa computer science UDOM kwa level ya diploma.
Alisoma CBG na alipata div III ana D moja kitu...
Kwa Bodi ya Mikopo. Je, hii ni haki?
Hii ni habari ya kweli. Mimi ni mtumishi wa uma kwa miaka 20 sasa. Kwa kuwa hali ya taaluma katika shule zetu za msingi na o-level haikuwa njema kwa kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.