Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hatimae zile scholarships alizoahidi Mo Dewji zimetoka! Hongera sana, kwa uzalendo uliouonesha kwa kuwasaidia vijana kwa kile ulichokipata! Vijana waliofaidika wakasome kweli... Kuyaona majina ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
BAADA ya miezi mitatu tangu Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, (HESLB), kutangaza vikwazo kwa wadaiwa wake sugu, ikiwa ni pamoja na kuwazuia kujiendeleza kimasomo ndani na nje nchi na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajamvi naomba kufahamishwa aina za software katika accounting field na kazi zinazoweza kuwa perfomed na izo software Karibuni
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jaman kwa wenye uzoefu schlarship za china hua zinakua released kipind gan? Na ntajuaje?
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Hi sana wadau. plz kama kuna mtu ana soft copy ya magreth myles(kitabu cha midwifery) anisaidie...mungu awabarik.
0 Reactions
2 Replies
793 Views
Nimepata taarifa kutoka kwa mmoja wa Diploma Holders aliyepo chuoni (jina kapuni) kuwa amepata mkopo. Hata hivyo nimejihakikishia kwa kucheki namba yake kupitia OLAMS na kuona kuwa kweli kapata...
1 Reactions
58 Replies
8K Views
Wadau bado nahitaji msaada wenu kimawazo najua unaweza usinipe ushauri kwa kuwa wewe umepata chuo na mkopo! TCU wamenichagua ila udom jina halipo batch zote wametoa jina silioni wengi wamenishauri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
HUSSEIN BASHE Mfumo wetu wa elimu kwa muda mrefu umeonesha udhaifu katika usimamizi, uendeshaji, udhibiti na ugharimiaji tangu Taifa letu lilipo amua kufanya ugatuzi wa madaraka, uliopelekea...
1 Reactions
0 Replies
833 Views
wadau profile yangu inaonesha hivyo lakini nikiangalia web ya chuo cha udom jina langu halionekani tatizo ni nini wakati TCU wameshanichagua? Kuanzia first batch hadi fifth batch! Nishaurini...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu nina Diploma ya umeme je naweza kuapply degree ya Telecommunication engineering nje au ndani ya nchi?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Bachelor of human resource management na bachelor of arts with public administration ipi nzuri zaidi kusoma na yenye upana wa kubadilishwa kitengo? Ukiwa umeajiriwa kama mlinzi ??unaweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kwel foundation course wanaendelea na degree kwa open university of Tanzania naomba jibu wadau
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada wenu nataka kujua vyuo vinavyofundisha pharmacy kwa ngazi ya diploma(ordinary diploma) kwa mikoa ya mbeya, songea ,iringa ,Moro au Tanzania kwa ujumla.naomba msaada wenu
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Hv najibu ya awamu ya nne kwa diploma na certificate yanatoka lini?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza nawasalim! Mm mwenzenu napenda kuulizia taratibu za kuhama chuo na documents zinazotakiwa msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii programme inapatikana katika chuo cha utumishi wa umma tawi la TANGA. 1.Nataka kujua inahusika na nini? 2.Uwanja wake wa ajira ya kuajiriwa au kujiajiri upo kwa kiasi gani? Thanx in advance...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wanaJF, napenda kutambusha huduma hii mpya kwenye mfumo wetu wa chenjifasta ambao unamsaidia mwalimu anayetaka kufundisha kwa muda wa ziada(Temporary) au kujitolea kufundisha(Volunteer) au...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
naombeni msaada kwa yeyote mwenye mapenzi mema, mimi ni kijana mtanzania nimemaliza ngazi ya stashahada katika fani ya UHANDISI NA USIMAMIZI WA MAZINGIRA MIGODINI mwaka 2016 mara baada ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, poleni na hongereni kwa pilika za hapa na pale. Naomba kujuzwa au kusaidiwa vyuo vinavyotoa cozi za e learning na kutunuku vyeti, viwe vya nje coz vya ndani muda wa udahili...
1 Reactions
0 Replies
778 Views
jamani kama kuna mtu aliaply fourth round application kupitia tcu aniambie kama kapata chuo mana cielewi elewi
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom