Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Tafadhali kama unamfahamu mwenye jina la LUCY KIDUBO mtaarifu kuwa kuna mtu anavyo vyeti vyake alivyovipoteza, inaonyesha ni mwanafunzi wa UDOM maana kuna payslip za UDOM. Halafu niPM nikupe namba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mambo sio mambo idadi ya wasomi wapungua ....ada ipo juu sanaaa iv inawezekana kulipa kidogo kidogo ada ya masters
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Oi wana Mwenye paper la necta physics waliopiga mwaka huu may anidondosheee
0 Reactions
4 Replies
909 Views
Kapuya alikuwa Waziri wa Elimu katika awamu ya Benjamini Mkapa. Mojawapo ya kihoja alichofanya ni kufuta masomo ya biashara na kilimo. Kawambwa alikuwa Waziri wa Elimu wakati wa J. Kikwete...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Siku zote mzaha mzaha hutumbua usaha. Awamu hii ya tano imekuja na sera ya elimu bure na ili kuitekeleza sera hii imebidi iminye vijiposho vya walimu ktk shuhuli mbalimbali kama usahihishaji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa maombi ya ajira ya ualimu wa sekondari yanaelekezwa ofisi/wizara gani wakuu?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu nimeombaa Transfer DIT lakini siku ya kwanz nilimkuta Muhasibu akanambia niandike barua alafu nirudi siku inayofuata. Niliporudi nilimuon Registrar lakini registrar alinambia...
0 Reactions
6 Replies
988 Views
Elimu ya O level ina masomo mengi sana kuliko A level
2 Reactions
92 Replies
15K Views
Habari wana JF!! Nimeamua kuandika hii thread ili imfikie moja kwa moja Mkurugenzi wa bodi ya mikopo Mh. Abdul Razaq Badru. Mpaka saizi navyo andika hii thread kuna vilio vingi sana vya...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa serikali inayotaka ufanisi wa utendaji lazima iangalie na uhitaji wa watendaji wake. Kwa mfano watumishi wameomba uhamisho wa bila malipo kwa kutokana na matatizo tofauti tofauti na...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndugu wanaJF, Naombeni msaada, Kuna mtoto wa shemeji yangu ni yatima, suala lake la mkopo halieleweki kama upo au haupo, amepangwa chuo cha St. Agustino huko Dodoma. Mpaka sasa haijulikani kama...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba msaada wa jinsi ya kuchora maumbo ya hisabati kama vile miche duara,pembe tatu na n.k. Kwa kutumia microsoft excel au word. Au application yoyote rahisi ambayo naweza kuitumia katika...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Jaman naomba kujua kiwango cha daraja gani cha ufaulu std 7 maana Luna MTU alipata daraja D VIP atachaguliwa kweenda kdato?
2 Reactions
42 Replies
20K Views
Kuna magumu tunakutana nayo tunaporipoti chuoni wiki ya Kwanza, Je wewe ulikutana na gumu lipi?
0 Reactions
102 Replies
13K Views
Kunahili tangazo lilitolewa wikihii inayoishia,nikwamba wanahitajika watu waliosoma sayansi na hesabu ambao either wamemaliza chuo ila walisoma coz nyingine nje ya education,serikali inawahitaji...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Haki ya Mungu sisi makabwela tusiokuwa na mahali pa kutolea maoni yetu tuwashukuru sana watu kama JamiiForums kwa kutupatia mahala ambako tunaweza na sisi kuwabwekea wafanya maamuzi. Kusema ukweli...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Imported from a FB Friend BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUNA WALAKINI Tunaweza kusema kuwa ni upungufu wa kawaida tuliouzoea miongoni mwa viongozi, maofisa na watendaji wa serikali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman izi heruf daaah
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Hiv wanavyosema biological father wanamaana gan?
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Back
Top Bottom