Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Amani na Salama! naomba kuuliza taratibu zinamwezesha mwalimu kupata nafasi ya kuwa miongoni mwa wasahihishaji Wa mitihani iliyo chini ya baraza la mitihani la taifa. nawapenda. teacher Noni
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Nijuavyo Mimi NECTA husimamia taaluma toka darasa la kwanza mpaka kidato cha sita baada ya hapo taasisi zinazo simamia kutoa mafunzo ya utaalamu huchukua jukumu hilo mfano wa tasisi hizo NACTE...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Matukio ya apa na pale tuliyafanya tulipokua Shule ya msingi hasa darasa la 1_4. Karibu utuambie wewe ulifanya tukio gani..
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiona thread mbalimbali kuhusu malalamiko ya vijana kukosa mikopo ya elimu ya juu kutoka HESLB. Ni vema kama jamii tukajaribu kuoanisha ni nani hasa anastahili kupata mkopo kwa fedha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninachoweza kusema ni "Mungu atusaidie" kwa huruma yake na akipenda vinginevyo tunachezacheza tena bila utaratibu. Jamii inajua kuvuruga vichwa vya watu haiwezi kuwa na msingi wa jambo lolote...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Zamani kulikua hakuna michezo mingi ambayo tunaiona katika zama zetu hizi lakini watu walikua na afya bora na waliishi maisha marefu lakini katika zama zetu hizi.....soma zaidi Blogger.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi naombeni nijue sifa za Mtoto kujiunga Darasa la kwanza shule ya Msingi ili Watoto wetu wasipoteze Haki yao ya Kupata Elimu pia Serikali isimamie uandikishaji wa Watoto Darasa la Kwanza...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimesikia watu wengi kwenye mtandao wakipigia debe elimu ya bure!! tatizo la pesa kweli lipo lakini vilevile hatuna madarasa ya kisasa, walimu wa kutosha na mbinu mpya za ufundishaji. Tanzania...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mpwa wangu kachaguliwa kuja kusoma Bachelor of Arts Ed. Katoka kijijini kafika mkopo hana hata Tsh 0, wenzake wameaanza kusoma tangu j3 iliyokwisha, nikonaye tunatazamana naye hapa 'jicho kodo'...
27 Reactions
101 Replies
9K Views
wadau wa elimu naomba msaada kwa yeyote anijulishe kuhisiana na MANDAKA TEACHER COLLEGE. join instructions za hicho chuo na siku ya kuripoti .asanteni wakuu[emoji120]
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Jamani hizi ni university za vipi. Inaitwa University lakini haina website. Kuna watoto wamechaguliwa kwenda pale sasa sijui wanapataje kujua chuo kikoje na mahitaji yake! I doubt its credibility...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari wanajamvi wote! Kama jinsi kichwa cha habari kinavyotanabahisha, kuna kaka yangu mmoja anakusudia kuendelea na masomo yake kwa ngazi ya PhD katika mambo ya uchumi (economics). Hivyo kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Asanteni HESLB kwa kumpatia mdogo wangu mkopo, maana nilikuwa nimeshamfungulia genge la nyanya. Na ingawa ufaulu wake ulikuwa div3 lakini mmemuona kwa kuangalia shule alizosoma na pia course...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari yenu wana jamii forums napenda. kujuzwa kwa yeyote anaejua habari za Mkopo hivi ndo kusema Yale majina elfu 25 yamekamilika?? au kuna batch nyingine? maana nasikia tu yamebaki elfu 3 Mara...
1 Reactions
3 Replies
745 Views
Habari wana jamii. Mwalimu hakuna sheria inayolazimisha wewe kwenda kusimamia au kusahihisha mitihani. Ni kutojitambua kufanya kazi kwa malipo ya Tsh10,000 kwa siku wakati nauli ni zaidi ya hio...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Wadau hivi inawezekana kuomba chuo cha private, kwenda chuoni na wenyewe ndio wanifanyie application hapohapo chuo?
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa linawatangazia vijana wote waliohitimu kidato cha sita June 2016 na ambao hawajajiunga na elimu ya juu,,kujiunga na MAFUNZO ya Jkt.
1 Reactions
16 Replies
5K Views
download pdf kweny link yao hapo chini CHANZO: www.tcu.go.tz
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jf naomben msaada vyuo vya ufundi vilivyo chini ya veta vinavyotoa kozi ya umeme wa magari.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom