Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nichukue fursa hii kukupongeza Mhe.Waziri wa elimu sayansi na teknolojia kwa jitihada zako za kuboresha elimu yetu nchi pia nichukue fursa hii kukuomba kuwa mwaka huu mmeleta stashahada za ualimu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za mchana wana Jukwaa! Samahani sana kwa usumbufu naomba kujua kama Ada ya mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti kozi ambayo imetangazwa hivi karibuni baada ya kuondolewa Stashahada ya Elimu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Samahani,naomba kujulishwa kuhusu gharama za kusoma "STASHAHADA YA UALIMU WA UFUNDI SEKONDARI katika chuo cha KLERUU-IRINGA. Kama kuna anaye/aliyesoma hapo anisaidie tafadhali. Pia kama kuna...
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Habari zenu wana JF naombeni mnitofautishie kati ya LEVEL HIZI NTA5 na NTA4
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Waungwana kwa waliosoma/ wanaosoma Empower School School of Health , hasa hasa Post Graduate Diploma in Global Health Procurement and Supply Management tukutane hapa tupeane uzoefu na kusaidiana...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wakati wa kipindi hiki ambacho wanafunzi wengi haswa wa mwaka wa kwanza wakikosa kujua hatma yao. Hali imekuwa tofauti baada ya kutokea mkaranganyano ndani ya...
5 Reactions
44 Replies
7K Views
Tafadhali mwenye ujuzi naombeni mniangalie hi namba kama imepata mkopo,S0485.0387.2013
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Ndugu wanazuoni nasikitika sana kuona wadogo zetu wanaosoma chuo kikuu cha Sokoine wanakosa uongozi wa wanafunzi ilihali fedha za uendeshaji zinatolewa kama kawaida 10,000/=@student. Sababu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunakokwenda siyo. Maelfu ya wanafunzi wamekosa mikopo, wako mitaani na bila shaka watalazimika kuandamana kudai haki yao ya msingi, yaani Elimu. Polisi watatumia nguvu nyingi kuwanyamazisha, ila...
11 Reactions
100 Replies
8K Views
Walifungua dirisha la kuapply vyuo vya ualimu wakasema mwisho tarehe 21/11/016 chakushangaza central admission ili long in haifunguki na wala hairuhusu kufanya application na deadline kesho Huu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi. Natarajia kumpeleka kijana wangu wa kiume kuanza kidato cha kwanza utakapoanza mwaka 2017 lakini naomba mchango kuhusu shule hii kwa walio na uzoefu nao najua ni shule ya dini...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Eti wastan ni ngapi kwa kidato cha pili kwenda cha tatu kuanzia mwaka huu?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilimuamini sanaa huyu kuku nikijipa moyo kwamba hii ni mbegu bora kama nikiifuga tangu 2015 mnamo 2020 nitakua na vifaranga wengi lakin amenshangaza ndo kwanza mwaka mmoja amenza kula mayai eti...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Hii Board ya Mikopo nchini ina kasoro nyingi sana; 1. Ina toza watu riba ambazo hazikuwa kwenye mkataba wa makubaliano (fomu) miaka ya 2009 hadi 1994. Huu ni wizi! 2. Riba zenyewe ni 5% each day...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naomba kuuliza bachelor of special education (primary)/bachelor of disability studies inapatikana chuo gani?
1 Reactions
16 Replies
11K Views
Leo mweziii toka bodi watoe mikopo kwa wanafunzi lakini leo ni mwezi hela ya kujikimu(boom) kwa vyuo vyenye hadhi kubwa kama SUA ni janga....majina hayatoki ya kusign hadi leo wanatoa ma wili...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Habarini ndugu wanaJF. kwa anayefahamu gharama za hivi vyuo vya vya clinical officer vya serikali naomba anijuze (Amo Training centre Mbeya,Lindi clinical officer na sumbawanga clinical officer...
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Ni tumie fursa hii ya leo kumshukuru mungu kwa uzima anaotujalia katika maisha na shughuli zetu za kila siku.Niwape pole nyingi serikali yetu na taasisi zetu kwa kazi wanazofanya kukiwa na...
0 Reactions
2 Replies
968 Views
Habari wanaJF. Kama kuna mtu aliyeomba transfer kwenda UDOM tukutane hapa tupeane moja mbili wakati tukiwa tunaendelea kusubiri tarehe za kupata majibu ya transfers zetu. Matusi kando tafadhali
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom