Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
jaman kama kuna mtu aliwahi kupata au anafaham wanapata vp anisaidie please na je bado wanatoa
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Katika kuangalia majina ya wadaiwa sugu wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya juu nimekutana na hili jina hapa chini. Huyu mdau kasoma na kumaliza UDSM kati ya 2005/2006, sasa hebu tujadiliane kama kweli...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Malengo halisi ya mtihani Wa kidato cha enzi zetu yalikuwa ni kuwachuja wanafunzi. Mtihani huu ulijulikana kwa jina la "FORM TWO NATIONAL EXAMINATION". Huu mtihani nakumbuka tuliuheshimu sana kwa...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Serikali inaendelea na kuuzunguka mbuyu. Yaani inazidi kuzunguka tatizo badala ya kulitatua. Na sababu kubwa ni kwamba inazunguka kwa sababu yenyewe ndiyo ilivisajili, lakini leo inavifuta...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari za wakati huu wakuu..!!!! Nina shida na mwanafunzi wa kiume aliepanga maeneo ya mlalakuwa...km yupo naomba tuwasiliane 0657 955825
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Inasikitisha, kwa hakika na Elimu sasa inakufa. Baada ya mitihani ya kidato cha nne, leo mitihani ya kidato cha pili inaanza tarehe 14/11/2016 Kwa kawaida mitihani hii walimu ulipwa posho ya...
19 Reactions
102 Replies
11K Views
Mimi natapa taabu sana kuona Serikali inakua na kigugumizi kuwapatia wanafunzi wote wenye sifa mikopo ya elimu ya juu bila sababu, pesa yenyewe ni mkopo utakaorudishwa tatizo nini?? Hivi serikali...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna tangazo liwahusulo applicant wa TCU wa equivalent kupiga simu Tcu, naomba waliofanikiwa watupe mlejesho
1 Reactions
1 Replies
799 Views
chuo gan kizuri cha afya kuna mtu anataka kupata diploma..
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wapendwa habari zenu, nina cheti cha veta cha computer and secretary je naweza kujiunga na Chuo nipate diploma? Maana nimeambiwa kuwa vyeti vya veta huwa havikubaliwi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais wangu, pamoja na mengi uliyofanya mazuri, kwa hili la mikopo ya wanafunzi elimu ya juu litafanya hata mazuri uliyofanya yasionekane. Watoto wa maskini waliokupigia kura kwa ahadi zako nzuri...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu Wadau na Umma kwa ujumla kuwa zoezi la kupokea maombi ya kujiunga na masomo kwa kozi za Astashahada (Cheti) na Stashahada (Diploma)...
1 Reactions
17 Replies
11K Views
Tunajua kuna vitamin,protein,fats,carbohydrate,mineral,water na fibers. Hapo kila moja ina nutrients zake,mfano vitamins ina A,B,C,D,E n.k, mineral ina potassium,magnesium,zinc,fluoride n.k...
0 Reactions
7 Replies
923 Views
Kuna first Year katika chuo cha MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY ali-be allocated katika awamu ya kwanza kabisa ya mkopo ya yale majina 3000+ na huyo Jamaa alipewa fedha ya ada yote na vitu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Ijumaaa ni mahafali ya graduates SUA bila uongozi, bila mkopo,bila boom watu tunashindia maji sasa hii ni hatarii kwa wadada zetu ambao hawana uvumilivu, wataharibiwa bila kupenda ila kitokana na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni Mtanzania wa kawaida tu! Kwa kuwa serikali imefikia katika hatua nzuri ya mchakato wake wa UHAKIKI. Ninaishauri Serikali kupitia TAMISEMI itangaze ajira mwezi huu, ili waajiriwa wapya...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu, Nina Kijana Wangu amemaliza form six; alipata div 3 ya 14 (PCM) yenye cridit PHYSICS- D, CHEM-E, MATH-E kwa maana yake alikuwa na point 4; na alipoomba kujiunga chuo kikuu kwa...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Samahani nacte imetangaza chochote kuhusu walio shindwa kuendelea na Degree kwa walikosa GPA Please naombeni taarifa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF. Baada ya kusubiri sana nimejikuta nipo na maswali mengi kuliko majibu juu ya swala la mikopo elimu ya juu. Bodi wametoa mkopo kwa almost form 6 wote ambao wamechaguliwa na wamesha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom