Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hiv nani katuloga sisi watz?!!! Kuna maana gani kumfundisha mtoto kwa lugha ya kiswahili kuanzia chekechea mpaka darasa la saba kwa lugha ya kiswahili af akifika secondary unambadilishia lugha ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahani wadau nimeapply nursing, kwenye profile yangu inasema napaswa nisubiri next selection... coming soon. Wakati huohuo nacte imetangaza kufunga rasimi udahili. Msaada jamani nifanyeje
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari za pilika. Samahanini, kwa mwenye uelewa wa vitabu gani vinafaa kwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza naomba anisaidie majina. Hii ni kwa sylabbus ya CSEE ya hapa kwetu Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni statement inazoelimisha like life, knowledge,success,love,good,. Kinapatikana kwa bei nafuu elfu kumi tu kimoja. Kwa mawasiliano tupigie. 0717420309,0673265113
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Youthnize.com Earn Your Guranteed Home Job for 1500$ weekly
0 Reactions
2 Replies
762 Views
habari wanajamvi kama kuna mtu amejiunga na huduma hii ya kusoma masomo ya ufundi kwa njia ya mtandao ilioanzushwa n.a. airtel kwa kushirikiana na veta naomba atusaidie kutujuza masomo haya yapo vp?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mtihani wa taifa darasa la nne unatarajia kuanza kesho. Nipo kwenye semina ya mtihani walimu wote watakutana kwenye kata zao, malipo ya semina hakuna, malipo ya kusimamia mtihani hakuna tumeambiwa...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Hizi ni tetesi nilizosikia kwa watu wengi mwaka huu. Kwa wadau mnaojua hili, kisha mna uhakika na hili jambo, hebu nijuzeni.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwalimu ndiye 'Jiko' la kupikia na kupakua Wasomi, lakini kwa bahati mbaya amegeuzwa 'Jalala' la kutunzia takataka na kutemewa mate na waliopita mikononi mwake. Uongozi wa juu kabisa wa Awamu hii...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Quality Business Solution.Co.Ltd wa Po Box70401 Dar es salaam. Wanatoa inhouse training ya matumizi ya Accounting package ya Tally.ERP9 trainings : Popote Tanzania, Mpaka mikoani tunakufukia...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Katika halmashauri ya mji wa Kibaha walimu waliosimamia mtihani wa taifa wa kidato cha pili mwaka huu licha ya kumaliza kazi hiyo tangu jana bado hawajui lini watalipwa nusu ya posho yao ya kazi...
0 Reactions
2 Replies
836 Views
Wapendwa nina CPA ila nipo interested kusoma ACCA kuna fursa nimeiona nje ya nchi.Naomba kuuliza ukiwa una CPA kuna exemption kwa kiwango gani ili nipate ACCA? Thanks
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Optometry Kwa anaeijua kozi hii na kazi zake na chuo kinachotoa nilisikia KCMC inatoa. Vipi wakuu inafaa kusoma kuna mdogo wangu anataka kusoma hatojutia?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Poleni na majuku, Niko hapa kuomba ushauri.Nimebahatika kuchaguliwa Chuo kikuu Huria Tanzania kwa Masomo ya shahada ya Kwanza ya Sociology 2016/17. Mpaka dakika hii sijapata...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
UALIMU NI KAZI HATARISHI. Mwandishi wa makala za Elimu,ndugu Ruston Msangi,aliwahi sema ualimu ndio mama wa taaluma zote.Msangi alimaanisha fani zote;uhasibu,udaktari,ukunga na nyinginezo...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamii inatumia kodi zao kuwasomesha wanataaluma wao ndani na nje ya nchi lakini kinachorudi kwao kutoka kwa wanataaluma wao hakilingani na thamani ya kodi zao. Wasomi nguli wamejichimbia sehemu...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Nakumbuka nikiwa darasa la tano hivi kuna siku mimi na rafiki yangu tukiwa darasani tulikuwa tunapeana zamu ya kumkumbatia kimahaba mdada mmoja ambaye pia alikuwa ni mwanafunzi mwenzetu..tulifanya...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Ajira duniani hutolewa kwa wenye ujuzi au maarifa husika. Ni mara chache sana kusikia mtu kaajiriwa kwa sababu ya elimu aliyonayo. Isipokuwa elimu ya mtu huwa ni kiungo kwa ujuzi au maarifa...
1 Reactions
2 Replies
892 Views
Nichukue nafasi hii kuiomba serikali kuwapa ufadhili wanafunzi wote waliochaguliwa vyuo vya serikali kusomea diploma ya ualimu wa sayansi ili kuwasaidia hawa wanafunzi wasome maana wengi hawawezi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mara ohh utasikia eti "wakili msomi", hivi kuna wakili ambaye hajasoma?? Ajabu mpaka baadhi ya wanataaluma ambao ni mawakili utamsikia anajitambulisha kwenye harusi, "mimi naitwa so and so...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom