Nianze na hili la mfumo wetu wa elimu maana kama tukiliacha liendelee hivi ni matarajio yangu hakuna kipya tutakacho kitarajia katika elimu.....
Mfumo wetu wa elimu upoje?
Kwanza mfumo wa elimu...
pichani ni mtoto akionyesha akionyesha tunzo ya shahada aliyopekea kwa niaba ya mama yake aliyefariki dunia miezi michache iliyopita
Novemba 25, 2016 Chuo Kikuu Cha Sokoine cha Kilimo kilikuwa na...
Tangu Mh Rais wetu mpendwa Jpm aingie madarakani na kuanza kuitumikia Tanzania,nimejaribu kufuatilia teuzi au uteuzi wake katika nafasi Mbalimbali nimeona amechukua sana Dr,PROFFESOR na Wahandisi...
TCU wamefanya marekebisho kuhusu tangazo lao la hapo awali kwa kusema uwe na principal pass mbili walau zifikie point 4 kwenye masomo mawili. Ina maana at least uwe na DD,CE,BE,AE na zaidi ya hapo.
Hongera sana mama, kwa kukalia kiti na mamlaka ya kuamua au kukataa kitu furani ukiwa wewe kama wewe lakini siku zote binadamu hata ungekuwa na elimu kubwa kiasi gani, aimaanishi ndio unaweza...
Napenda kutumia jukwaa hili kuwakaribisha wahadhiri wenzangu popote mlipo tuweze ku-share changamoto zetu, maendeleo ya elimu hasa ya chuo, ushauri kwa wanafunzi wa vyuo, vituko tunavyokutana...
Habari wana Jf
Katika swala la fursa za kutoka kimaisha na kujiajiri
Diploma gani nzuri kati ya hizi?
Naomba sababu katika kutetea hoja yako
1.Clinical Officer
2.General Agriculture
Habari za muda ndugu zangu! Kunakitu sijakifahamu bado, katika maswala yakazi ukimtaja daktari ama nesi ni watu wanao fahamika kwakazi zao ila mmi sijajua kuwa watu wale wanaosoma community health...
Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kimeanza utekelezaji wa agizo la Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, kwa kuwazuia wahitimu wa ngazi ya cheti na...
Dar es Salaam. Shirikisho la Wanafunzi wa Elimu ya Juu (TAHLISO) imevikumbusha vyuo vikuu nchini mambo wanayotakiwa kufanya ikiwamo kuelewa mikataba na nafasi ya wanafunzi katika masuala ya malipo...
Kuna wanafunzi wanalalamika, kwa nini wanapoomba au ku-apply kwenye vyuo na mitandaoni wanaambiwa hawana vigezo ili hali walifaulu kwa kupata Division III?
Au ndio kupanda kwa viwango vya elimu...
Habari za Weekend, natumai muwazima.
Mchana wa leo nimepigiwa simu na mdogo wangu ambae anasoma chuo kikuu cha mtakatifu Joseph kampasi ya Boko katika fani ya Medical Doctor (MD) . Katika maelezo...
Habari wakubwa.
Mimi ni kijana nina miaka 20 ninasoma diploma in clinical medicine.Tatizo ni kwamba tangu tumeanza semester 2 naona mambo yameniwia magumu aisee
masomo magumu mno halafu kuna...
Wadau nimechaguliwa kwenda kusoma diploma ya ualimu ufundi sekondari ,chuo cha kleruu ttc but karo ya hivi vya serikali ni kubwa je ? Naweza kupata ufadhili kwenye shirika gani au serikali inatoa...
Habaru zenu wakuu.
Nimemaliza degree ya kwanza katika masomo ya Social Science. Ila naona interest zangu kubwa zimelala katika masuala ya IT. Kutokana na kusoma masomo ya arts O level...
Kuna umuhimu wowote ule wa serikali ya Tanzania kuweka mfumo wa bila kusoma masomo ya sayansi huwezi somea unesi,maabara,udaktari,ufamasia,sijaelewa mantiki yao bado wakati BIOLOGY pekee inatosha...
Habari zenu wanajamvi
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nilikuwa naomba kwa mwenye soft copy za vitabu hivi hapa chini nilikuwa naomba anisaidie
1.Anson's Law of contract,oxford...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.