Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habarini wapendwa wa Jf, kwanza naomba kuwashukuru wadau wote wa masuala ya elimu kwa michango na mawazo yenu mazuri ambayo mmekuwa mkiitoa pale mtu anapohitaji msaada wa jambo lolote linalohusu...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Ndugu wana jf kuna dogo langu anatamani xana kuja kufundisha secondary lakini kutokana na matokeo yake hakupata shule nilijaribu kumtafutia private lakini gharama ikawa kunmbwa na anapenda sana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini wakuu...kichwa cha habari chahusika. Naomba anaesoma chuo tajwa anipm Nina shida ya taarifa kutoka eneo husika. Ntashkuru sana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu...nina mdogo hapa alihitimu chuo cha ualimu ngazi ya Astashahada (cheti)...alituma maumbi nacte kuomba kuendelea na ngazi ya Stashahada...ila majibu yanrudi...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Kama wewe ulivyokuwa mdogo kula kulala tu nyumbani ulishindwa kusoma na kufaulu mtihani je, ukubwani ukiwa na majukumu mengi akili zilitoka wapi? Kama kweli akili bado unazo kwanini usiende...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mwenye link ya waliopangiwa form one 2017 anitumie
0 Reactions
1 Replies
4K Views
..soma hii hapa..[emoji30] [emoji30]
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za muda huu. Calculator aina ya CASIO original,toleo jipya inauzwa kwa bei nafuu haijatumika,pamoja na kitabu cha Chemistry 2(Chand). Bidhaa zote bei ni maelewano. Nipo KUNDUCHI
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Wengine hapa walishaanza kuulizia boom la pili lakini kuna watu mpaka leo majina ya kusaini hskuna hasa 1st year Tutakufa na njaa aseeeh mtu unakosa hata 10 mfukoni afu unajiita upo sokoine...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
magufuli raisi wetu waangalie na watoto wetu sua maana tumechoka kuombwa pesa wakati walipewa mkopo lakini cha ajabu mpaka sasa wanadai hawajapata pesa yao ya kujikimu tangu wamefungua chuo ebu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Dunia imegeuka geukieni elimu dunia kwa watoto wenu wa Kiislam kwa vitendo. Geuzeni madrasa zenu kuwa vituo vya elimu ambako watoto wanafunzwa masomo ya dini, hesabu, english, sayansi, historia...
9 Reactions
46 Replies
4K Views
wadau naomba mtu mwenye arc gis crack 10.1 anisaidie
1 Reactions
0 Replies
490 Views
Habari za asubuhi wakuu. Sina uelewa kuhusu points zinazohitajika kusoma kozi za afya kwa wanaotokea form six. Naombeni mnieleweshe hapa, nina rafiki yangu kamaliza form six anataka asome higher...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Habari za asubuhi wana Jukwaa, Nina mdogo amemamliza F4 ndio anangoja majibu; Nilitaka afanye mitihani ya SAT(Scholastic Aptitude Test) . Naomba muongozo kwa yeyote anaye jua kituo cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nakiri kwamba nilijiunga chuo kikuu kwa cheti cha F4, baada ya kufaulu mtihani wa kujiunga (Mature Age Entry Exam). Sijawahi kusoma F5 & F6 Sikwenda A level wakati huo sababu ya sera ya serikali...
1 Reactions
6 Replies
935 Views
Habarini wana JF, Nimeamua kuanzisha hii thread maalum kwa ajili ya wadogo zetu na kaka zetu ambao walichaguliwa kujiunga na masomo ya elimu (bachelor degree and masters) lakini kwa bahati mbaya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jamvi,..naomba kupata list ya best international school zilizoko jijini Dar-es-Salaam zenye boarding kwa primary level. Kama pia utaweza kulist out Ada yake pia ntashukuru. Shule yenye...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Become a CCTV camera installer/Technician just by attending this short course provided by Dsat Technology. Hello! This is the event that i have been telling you about,it is near to start...
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Amani iwe kwenu, Kila kukicha baadhi ya watu hawaachi kulalamikia na kushtumu baadhi ya maamuzi yaliyofanywa na yanayofanywa na viongozi wetu hasa Dr.Magufuli na Prof.Ndalichako hasa yale...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom