Wadau kuna hizi ndoa za majaribio au za mikataba au maarufu 'trial marriages' ambapo watu wawili wanafunga ndoa na kuweka 'expire date' kwamba baada ya muda fulani watafikiria kurudia tena mkataba...
Salaamu kwenu wajuzi:
kwa mara nyingine najitokeza kwenu kupeana ujuzi, kubadilishana mawazo,maarifa nk; ambapo ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuweza kufaidika na elimu {ufahamu} tunayopeana...
Kauli ya Ndalichako(kama kweli alisema hivyo) ya kwamba mwenye sifa ya kuingia chuo kikuu ni form six leaver tu, tena aliyefaulu, inavunja katiba ya nchi, sheria ya elimu ya mwaka 1978, Haki za...
Waziri Dr. Ndalichako nakukubali. Yote unayofanya ni kwa manufaa ya Taifa letu.
Naomba uangalie na hili suala: Vyuo vikuu vingi hapa Tanzania unakuta mwanafunzi wa Masters wakati wa research yake...
Elimu bure inayotolewa na serikali, kiukweli bado ni changamoto.
Hii nikutokana na baadhi ya mahitaji kutokamilika kwa ajili ya kuweka mazingira chanya ya wanafunzi kujifunza au walimu kufundisha...
Mi nafikiri kama kuna watu ambao wanasimama na kupinga kile alichokisema huyu mama basi ni kielelezo tosha kuthibitisha kwamba tanzania ndio nchi ya mwisho kuwa na watu wenye uwezo mdogo sana wa...
Naombeni ushauri wenu nimechaguliwa kufanya bachelor degree ya accounting and transport finance je hii kozi ipoje yani ajira, kila kitu wadau naombeni ushauri wenu
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa maoni kuhusu kupeleka walimu vijijini na wakaishi Bila shida yoyote, kipindi wanawagawanya walmu mfano walimu kutoka mwanza unawagawa wilaya tofaut eg. Misungwi...
Certified Information Systems Audit (CISA) Mock Test is scheduled to be conducted on 12/11/2016 at DSM City Center. This Mock test covers all the domains and is based on the guidelines provided...
Hii wizara inafanya vitu bila kuwa na vission huwa inakurupuka tuu sometimes tutachoka na maamuzi yenu..
pesa zetu za application tuliokosa vyuo mmechukua hamjaturudishia..vijana tupo mtaani tuu...
BARUA YA WAZI KWA MUHESHIMIWA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR
Muheshimiwa waziri wa elimu Zanzibar natumai kuwa umzima wa afya na unaendelea na majukumu yaliyokutiknga kwanza nikupe...
*MKAPA AONYA:* MAAGIZO, AMRI ZA VIONGOZI
ZITAUA ELIMU.
Dodoma. Wakati Serikali ikiendelea na mkakati wa kubadilisha mfumo wa elimu, Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa amesema maagizo na...
Wakuu habari ya wakati huu,
Kwanza niwapongeze Watanzania wenzangu ndugu jamaa na marafiki waliofanikisha kujiunga na Taasisi za Elimu ya Juu Natambua si wote waliofanikisha hili kutokana na...
Mitihani ya kidato cha pili imemalizika ijumaa huku wasimamizi wa mitihani hiyo ambao ni walimu wakishindwa kulipwa kiasi cha shillingi elfu thelathini 30,000 /= kwa siku.. Badala yake walilipwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.