Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habarini ndugu zangu wana JF, Leo nilikuwa pale OUT branch ya Iringa nikihudhuria orientation course. Ndugu zanguni wanafunzi wengi wameingiwa na hofu kubwa juu ya hatma yao kuhusu msimamo wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Nimepata Hii Fursa ya Kufundisha Somo la Dini ya Kikristo Katika Shule za Serikali na Binafsi! Japo ni Kujitolea na Maslahi Kiduchu,ila Nimeona Si Vibaya Iwapo Nitasaidia Kuipeleka Injili...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hivi ukisoma diploma ya sayansi jamii na lugha unaweza kuajiriwa moja kwa moja au mpaka usome degree?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani msaada kwa anaejua tarehe ya kuripoti chuoni Kleruu Iringa. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi taarifa zinazoenea kwa kasi kwa sasa katika chuo kikuu dodoma ni mpango wa mgomo na maandamano yanayo ratibia na wanafunzi wenyewe kwenda kwa waziri mkuu kwake kufikisha kilio...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naombeni ushauri wa master course nzuri ya kuchukua kati ya public administration, sociology na marketing management, mostly in terms of validity ya soko la ajira
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu, Walimu wakuu wote mkoani Mtwara ambao shule zao zimevurunda katika mtihani wa shule ya msingi mwaka 2016. Aidha rungu hilo limewashukia pia maofisa wa 4 na baadhi ya walimu wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ni kwa Vyuo vyote vya serikali na binafsi. Elimu ya diploma ilikuwa chini ya NACTE sasa inarudi NECTA na kufuata mfumo wa zamani. Higher Diploma imefutwa. Source: Waraka namba 5 wa tarehe...
15 Reactions
301 Replies
110K Views
Hivi karibuni wizara ilitangaza kufuta mafunzo ya Ualimu Elimu ya Msingi ngazi ya Stashahada na kurudisha mfumo wa Astashahada ambao ulikuwapo zamani. Ikumbukwe kuwa kipindi cha nyuma Ada ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Second selection ya NACTE,itatoka lini,
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sisi Wazazi wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu waliokosa mikopo tumesononeka sana na tuna simanzi sana kwa watoto wetu kukosa mikopo ambayo ni haki yao kama Watanzania. Wanafunzi wengi pia ni wale...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
IN THE NAME OF ALLAH, THE ALL-COMPASSIONATE, ALL - MERCIFUL TANZANIA MUSLIM STUDENTS AND YOUTH ASSOCIATION (TAMSYA)...
0 Reactions
68 Replies
18K Views
Jamani naomba maelekezo jinsi ya kuappeal mkopo kuna sehemu ya kuingiza password alafu kuna sehemu ya security code sasa apo kwenye security code unaweka nn?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tangu awamu ya selection iliyopita profile imeandika Wait for evaluation. Na leo tena imefunguka lakini ipo blank sijui ndio nishakosa Chuo au vipi.Wadau nijuzeni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Inaumiza sana kuona baadhi ya vijana wa kitanzania waliojiunga na elimu ya chuo kikuu wanarudi makwao. Serikali ni bora ikajipanga vyema kuwanusuru vijana hawa maana wanaandaa kundi la watu wenye...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
ili kujua kama umechaguliwa UDOM kwa awamu ya kwanza tazama hapa...
0 Reactions
27 Replies
15K Views
Nakubaliana na wewe vyuo viwe na hadhi ya kutoa elimu ya University status. Prof., anzia na UDOM. Surely this univ /colleges is / are below standard.
6 Reactions
86 Replies
7K Views
Tumepata Taarifa Ya Kubadilishwa Kwa Curriculum Ya NTA Level 5 Clinical Medicine Lakini Mpaka Leo Hatujapatiwa Module Mpya Tunaendelea na za zamani Hivi ni Lini Wizara itatupatia??????
0 Reactions
2 Replies
3K Views
habari zenu ...nilikuwa naomba kueleweshwa kuhusiana na hili mwakani natarajia kujiunga na chuo cha ufundi iringa kinachoitwa donbosco fani ya electrical installation swali langu ni je kama...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom