Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
habari wanaJf!!! kama wengi tunavyojua mpaka sasa hakuna mwanufunzi wa kutokea diploma kapata MKOPO aliye maliza mwaka huu na kufanikiwa kuunga chuo kikuu. kutokana na hili jambo kuendelea...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna kijana wa rafiki yangu kachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza shule ya sekondari ya wavulana bwiru, cha kunishangaza shule ile haina soma la physics. Hii imekaaje? Akimaliza kidato cha 4...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo katika kupitapita nikakumbana na mwito wa JKT kwa wale waliomaliza form6 mwezi may 2016 na hawakuchaguliwa kwenda chuo. Cha ajabu kuna kijana namfahamu anatakiwa aripoti december 1-5 2016...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, Naomba kusaidiwa kupata PDF ya hiki kitabu. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kuamka wakubwa zangu na wadogo zangu Kuna msemo usemao, “Fursa ziko kila mahali zimelala tu ovyo ovyo zikisubiri jicho la kuona zionwe”. Ndugu, najua muda mwingi umekuwa unafikiria...
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Wadau naulizia ajira za watu waliosoma irrigation engineering wapi naweza ajiriwa
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Good evening majority! My topic today is citizens and citizenship. A person who belongs to any country is possessing his/her name for instance Tanzania =Tanzanian Kenya=Kenyan Madagascar...
0 Reactions
5 Replies
626 Views
Kila Waziri wa Elimu Tanzania huja na 'Kinyoleo' chake. Ndio maana 'shape' ya Elimu yetu haieleweki, ina mabonde mabonde.
1 Reactions
3 Replies
773 Views
Hivi unawezaje kuepusha kuvusha na kusinzia darasani. Yaan class nisiposizia kweny kipindi bas itakua navusha. Najitahid tahd kufuatiria mara ghafla nmevusha au nmesinzia. Msaada (Kama hii...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
mm naona serikali inapoteza pesa nyingi kusomesha asilimia kubwa ya wanafunzi wasio na moyo wa kusema.Elimu bure ililenga kuwasaidia watanzania wa kipato cha chini ambao walishindwa kusoma...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Nimepata kumfahamu Mwalimu huyu shujaa mwenye hulka yenye kusisimua. Toka anasoma shule ya msingi mpaka Sekondari alionyesha uwezo mkubwa sana darasani, mbali ya kuwa bright pia alikuwa na talanta...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwaka huu serikali imetoa mkopo kwa wanachuo 25000 wakati mwaka jana waliwapa mkopo wanachuo 48000. je ni kwa sababu gani? A;Zilikuwa mbwembwe za uchaguzi ili wapate kula. B;Baada ya mwaka mmoja...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Imekuwa kasumba sasa, licha ya miundo mbinu na huduma za kijamii, kuonekana kutokuwa sawia na zile za mijini, Pia huduma za elimu za vijijini zinaonekana kusahaulika, misaada ya kielimu mingi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kwa anayejua vyuo vya nursing kwa ngazi na certificate na diploma kwa Dar es Salaam naomba anijuze. Naomba msaada wenu wadau, Asanteni.
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Kuna ndug yangu alimaliza kidato cha 4 2015 akapata div 4 ya points 26; Phys F, Math F, Bios D, Hist D, Kisw C, Civics C, Geo D, English D na Chem D. Plan zake ilikuwa akitaka kusoma PCB au CBG...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Applications are invited for China Pharmaceutical University Jasmine Jiangsu Government scholarships provided to students of a country other than the People’s Republic of China. Scholarships are...
1 Reactions
1 Replies
800 Views
The Global Development Institute offers Distance Learning Leadership Scholarship at the University of Manchester. Applicants must be a national of and resident in a DAC-listed least developed...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Do you want to study your master in Sweden? The Swedish Institute Study Scholarships (SISS) application process opened Yesterday with a first application step 1 December 2016 – 16 January 2017...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
KWELI AU SI KWELI?
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Back
Top Bottom