Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Lengo langu nivuke mto ila katikati Kuna mlinzi na ua analala kwa dakika 5 nikitaka kuvuka anakua ashaamka. Swali nitafanyaje nipate kuvuka mto ?
1 Reactions
72 Replies
5K Views
Habar zenu wana jamvi.. Mimi ni mwanafunzi ambaye nilimaliza kozi ya Foundation ya Open University na kufaulu. Pia hadi sasa tayari chuo kimeshaniruhusu kuanza mwaka wa kwanza degree, lakini...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa sababu hua mnasahau, miaka hiyo mtapoozwa ili ikifika 2020 mbadili mawazo yenu.Nalisema hili kwa wazi kabisa na anayebisha asubiri muda ufike abishe. Kwa kipindi hiki mtahenyeka sana na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Six online distance learning Masters scholarships are available in the field of Ophthalmology for students from Africa, South Asia, Caribbean Islands, Pacific Islands, Central and South America...
1 Reactions
0 Replies
660 Views
Applications are invited for Lund University Global Scholarship available for the citizens of a country from outside the EU/EEA (and Switzerland). Students must have applied for Bachelor’s or...
1 Reactions
0 Replies
953 Views
Habarini...!!! Nimeona kwa Nchi za Afrika ,South Afrika ndio nimeona nchi yenye Gharama nafuu kwa sisi watanzania kusoma kule..kama Nitakuwa nakosea naomba mnitajie nchi nyingine tofauti na...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wadau naomba kujua shule nzuri kitaaluma hasa masomo ya sayansi na iwe ya serikali ili nipunguze makali ya ada nilizotumia o level! Tafadhari mchango.
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Jamani naombeni msaada wa tuition ya secondary EGM ...nasikia inapatikana mapambano Mwenge, Je ikoje na gharama zake hata angalau kwa estimate maana mimi secondary nimetoka miaka 23 iliyopita.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani nasikia wanafunzi wanaojiunga vyuo vya diploma ya ualim wanatakiwa kujihudumia chakula kwa pesa yao.wenye kujua naomba msaada wa katika hili.
0 Reactions
5 Replies
944 Views
Habari za saa hizi wakuu naulizia driving school nzuri iliyoko Temeke Dar mbali na VETA, nahitaji kujua bei zao na muda ambao mtu anaweza chukua mpaka kumaliza mafunzo ya kuendesha gari ambayo ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi issue ya uhamisho ya watumishi wa umma imekaaje, sijawai kusikia tamko lolote, je na michakato ya watu wakuhama bado inaendelea? Tafadhali mwenye updates au majibu
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Naomba msaada wa kueleweshwa hivi hiki Chuo Kikuu Huria hakina course ya Bachelor ya Public relations? Maana sioni kwenye prospectus ya 2015/2016.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa walimu waliosoma hapa au wanafunzi wanaotarajia kwenda january hii naomba kujua mazingira ya chuo na sehemu kilipo mpaka kufika chuoni na pia naomba kujua Sheria zao kwa diploma zipoje wakuu...
0 Reactions
31 Replies
11K Views
Habari zenu Wakuu, Nilikua mwanafunzi wa chuo kikuu,mwaka wa tatu(2016/2017),kuna kosa nilifanya mwaka wa pili(examination irregularity),imepelekea kudisco chuo,naomba kwa anayefahamu kama...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Scribd ni kitu gani? Kuna materials za elimu nyingi lakini one cannot access them. Naomba msaada wa jinsi ya kuitumia
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Jamani mimi nilikuwa nasoma UDOM fani ya education. Nilipofanya mtihani wa UE mwaka wa pili sikurudi kumalizia mwaka wa tatu ni kama nilirogwa na chuo hawakupata taarifa yoyote, nilikuwa nimalize...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Serikali imesema kuendelea kuwepo kwa udanganyifu wa mitihani kunatokana na kushuka kwa maadili ndani ya jamii ambapo walimu, wazazi na wasimamizi wa mitihani hufanya hivyo ili kusaidia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye ufahamu kuhusu kozi hii, naomba anidadafulie inahusu nini? Na inatofauti gani na BCom nyingine? Kwanini ni kozi ya muda mrefu sana kumalizika tofauti na BCom zingine za miaka mitatu mitatu...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Tujadili hili suala mana kuna mkanganyiko wa uletaji habari humu. Na je wanaposema wataajiri mikupuo miwili, ina maana kuna watakaochinjiwa baharini? Na huo utaratibu mpya utoaji ajira tofauti na...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Ina maana hakuna mbadala mwingine wa kuchukua nafasi yake, au ndio fadhila za REDET wakati wa elections za JK? Najaribu kuwaza kwa sauti
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom