Wanafunzi 28,638 waliomaliza darasa la saba 2016 wamekoswa nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza 2017 pamoja na kufaulu hiyo imetokana na upungufu wa madarasa,miundombinu ya shule ,upungufu wa...
Wakuu kuna swali apa kuhusiana na wamakonde linasema "Kupitia kabila la kimakonde, elezea asili ya ulimwengu, binadamu na maisha yake baada ya kufa"
Msaada tafadhali kwa hilo
Wadau habari zenu!
Wakuu naombeni msaada wa mawazo, nimefanya maombi ya udahili nje ya nchi(Netherlands) shahada ya Uzamili (Masters ).
Nimetuma viambatanisho vyote muhimu, naambiwa bado...
Finland ni moja wapo ya nchi zenye mfumo bora sana wa elimu duniania na watu wake wameelimika....vizur katika maeneo ya mawazo binafsi, ubunifu, vipaji nakadhalika....tunalipi la kujifunza kwa...
Dah nimekumbuka shule ya msingi enzi hizo aiseee.Nimekumbuka zile moto za shule ya msingi jinsi tulivyokuwa tunalishwa sumu enzi zile.
Primary nilisoma shule mbili ambazo ni
1.Shule ya msingi...
Habari za muda huu wapendwa!
Nina swali moja kuhusu taratibu za kuomba ruhusa bila malipo au kusitisha ajira kwa muda ili baadae ni'resume' ajira yangu serikalini. Kufuatia sintofahamu ya ajira...
Mhe: waziri wa elimu professor joyce ndalichako hebu sisi wanafunzi wa kreluu teachers college tunaomba utupunguzie michango ya kusoma stashahada ya ualim wa sayansi ukizingatia ulisema kwamba...
Habari zenu wadau naombeni ufafanuzi kuhusu mtu anayesoma bacheror in degree of marketing and public relation akisha maliza anadili na masuala gan hasa kikazi.
Kwema wasomi?
Leo ningependa kutoa maoni na malalamiko ambayo yapo katika ubongo wangu dhidi ya utolewaji na urudishwaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
Before...
Habari za wakati wana JF,
Nilichaguliwa.ualimu elimu ya msingi mwalimu nyerere memorial academy nilitaka kuhama kulingana na jinsi tunavyo fundishwa kidigree zaidi wakati hatuendani lakini...
Wana jamnvi leo nimeshangaa sana na kusikitika kusikia wapo form 4 ambao walikuwa na div 4 na walijiunga na vyuo vya ualimu, kwa sasa wanafunzi hao waliachishwa kusoma na kuambiwa warudie hadi...
Hawa ni wale wanafunzi wanaosoma special program science, mathematics & ICT wanalazimika kusimama masomo yao kwa wiki mbili tar 5-19 ili wasahihishe mtihani wa taifa darasa la nne baadhi ya vyuo...
Kaka zangu na Dada zangu wakubwa shikamon wadogo marahaba nielekezwe naweza kutumia king'amuzi bila antena? Kwa uku mkoani? Au inakuaje apo mwenye uelewa apo anileleze
Mmetoa majina ya continuing students lakini first year hatuoni majina ya kusaini. Hela ya kujikimu boom hatuna na tulipata mkopo. Sasa hatuelewi, tunakufa njaaa huku!
Ili wimbo wa kuisoma namba uwe mtamu zaidi
Mshairi smeamua kuongeza kidokezo cha "NA WAHITIMU WA MWAKA HUU"
UNGANA NAMI KATIKA WIMBO HUU KWA JAMII YA WASOMA NAMBA
[emoji15][emoji15][emoji15]...
Nimeona kama mdau nifungue ukurasa ili kupata maoni ya wana zuoni na wadau wengine ktk Elimu.
Hoja yangu ni hii hivi karibuni waziri alifuta udahili wote wa diploma ya elimu msingi na pia...
Sorry guys mimi ni mwanafunzi ndo nimeanza chuo can some one help me with the elements of hard news stories pliz zikiwa well explained na mwenye sources pia anisaidie ili nitafute nipate uelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.