Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu habari zenu, wakati tunasign boom chuoni NIT baadhi ya wanafunzi tumeambiwa pesa zetu hazijafika zote(720000). Wametuambia kuwa tusubiri hayo majina yapelekwe tena HESLB halafu watatuongezea...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF. Mimi ni mtanzania ambaye nimepata bahati tu ya kusoma china. Kitu kinachonisikitisha ni kwamba watanzania wengi tunakosa habari ( information) za mambo mbalimbali. Watu wa mataifa...
6 Reactions
45 Replies
8K Views
Nikiwa mzalendo wa Nchi hii hasa kukunwa Na Serikali yangu Juu ya Vihiyo wa Elimu nimeamua kuwataja wale wote ninaowafahamu iwe Kwa kusoma nao au kufanya Kazi nao waliomaliza vyuo Kwa kutunukiwa...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Habarini wandugu,napenda kuuliza kwa wansosoma hiyo course unasoma masomo mangapi ya kufundishia? Na inahusisha masomo ya sc km phy na math,au ni art ? Ada sh ngapi kwa mwenye masomo ya sc ktk hyo...
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Kama tittle inavyoeleza msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
753 Views
....HIVI NDIVYO NITAKAVYOMUEPUSHA MWANANGU NA KUISOMA NAMBA NA MAMA NDALICHAKO........ Akiwa na umri wa kumuanzisha shule Nursery nitampeleka na nitamlipia ada kama kawaida..... =>Mwaka...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini. Naomba niulize. Kama joto la ardhini huwa linaende juu (mfano angalia joto huwa linaelekea kwa juu barabarani, kwenye moto mkali...juu kunakuwa na joto kali linaloambatana na moshi...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Wakuu naombeni mnijuze kuhusu chuo kizuri kwa ajili ya kozi ya famasia na gharama zake. Pia napenda kujua kazi za mfamasia hapa Tanzania.
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Kwa deni ambalo nadaiwa nahisi nitafika miakaa arobaini litakuwa halijaisha kabisa,sasa nashindwa hata kuelewa aisee na hali hii ngumu.Haya tumuachie Mungu
0 Reactions
1 Replies
36K Views
Hi you all Wakati wenzetu wanaumiza vichwa na kutafakari ni nini kiingizwe kwenye ubongo wa mwanafunzi sisi tunatafakari ni nini kivaliwe kwa kila hatua mwanafunzi anayomaliza.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Ujasiriamali unafundishwa karibia kila shule/chuo kwa lengo la kuwafanya wahitimu waweze kujitengenezea ajira/kujiajiri kwa namna mbalimbali. Hivyo karibu kila mhitimu wa chuo anaelewa au amesoma...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Najua kuna wale wanaosoma kwa mfumo rasmi na wale wasiosoma mfumo rasmi sasa ningependa kufahamu kwa kutumia wataalamu waliopo humu ni taaluma gani ambayo unaweza kujiajiri maana kusubiri...
1 Reactions
0 Replies
854 Views
wakuu nilikuwa nahitaji msaada wa halaka wa kujua elimu ya Uganda kwa upande wa kidato cha tano na sita uko vipi kwani nimetry kuangalia post za zamani hapa jamii forum pamoja na information...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi, Naomba kufahamu kama kwa wanaorudia mitihani ya kidato cha nne ni lazima kurudia masomo yote. Yaani hakuna kuchagua kama alivyosema Waziri wa Elimu, Prof Ndalichako...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
The deadline for this kind of scholarship is early April, 2016. Remember you need to have passport in hand before the start of filling the online forms. Regards, agent_china@yahoo.com
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Swali langu lko hapa matokeo ya form four yana umuhimu?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
International Scholarships For Tanzanians, Swedish Institute Swedish Institute Masters Degree Deadline: 16 Jan/10 Feb 2017 Study in: Sweden Course starts August 2017 Scholarship description...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanini sisi Watanzania tunasoma ili tuajiriwe? Nimejiuliza tufanyeje kutatua tatizo hili maana tukiambiwa tujiajiri tunaanza kulalamika kwa sababu tumekariri ukisoma lazma uajiriwe. Mimi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Full Diploma Scholarships for Developing Countries in Africa, 2017 London School of Hygiene & Tropical Medicine is offering full scholarships for doctors from low- and middle-income countries...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Wakuu ni Mtazamo kua simu zipigwe marufuku darasani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu simu ziachwe hostel kwa wale wa mtaani waache mavyumbani. Ni Mtazamo lakini.
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom