Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naombeni maelezo jinsi ya kujisàlimisha nipo mwanza
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkuu wa chuo cha Eden Hills College,anatangaza nafasi za walimu wa Journalism and Mass Communication. SIFA: + Awe na Bachelor au Masters ya Journalism /Mass Communications +Awe na uwezo wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
UKIWA CHUO TEGEMEA YAFUATAYO 1. Kupata room mate ambaye hamuendani itikadi 2. Kupata demu/msela mpya na kumsahau uliemuacha nyumbani 👬 👬 3. Kuwaza kuwa na smartphone...
10 Reactions
90 Replies
15K Views
Wadau nataka kusoma hyo course nipen hint mnao ijua vizuri mana naipenda sana hyo course
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Habari zenu ndugu,Leo nimeamka na kuwaza mengi sana lakin nihili kubwa ambalo limenifanya nikumbuke mbali zaidi,kipindi nikiwa nachukua shahada yangu ya kwanza nikiwa chuo nilikutana na watu...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza wa udaktari hapa Hubert Kairuki memorial University HKMU.......sijawah panga kusoma katika hiki chuo kutokana na ada yake kua kubwa lakini kutokana na passion...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Wakuu habari zenu humu, mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa tatu sasa tatizo linalonisumbua ni kwamba sina msingi mzuri katika maswala ya presentation tangu o-level hadi hapa chuo huwa...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
kuna vijana wamefanya transfer ya vyuo vikuu mwaka huu lakini mambo yamekuwa ndivyo sivyo .hapa n kwamba chuo kimewakubali lakini majina ya TCU kuja katemwa na ashalipia ada kila kitu .TCU wenyew...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
*MAOMBI YA SCHORLASHIP - CHINA* >Kwa wale ambao mngependa kujiunga na masomo ya masters na PhD nchini China kwa mwaka wa masomo 2017/18 yaani kuanzia mwakani mwezi wa tisa ni vyema kuanza...
7 Reactions
25 Replies
10K Views
hivi bado kuna vyuo kwa muda huu vinapokea wanafunzi ngazi ya cheti,astashahadana shahada.
1 Reactions
0 Replies
766 Views
Katika jambo linalochanganya wazazi ktk kipindi Kama hiki ni pale mtoto anapokuwa amefaulu kwenda kidato cha kwanza. Wazazi tunachanganyikiwa baada ya kuona shule aliyo pangiwa mwanao baada ya...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Nimesikia watakaopangiwa form one kwa darasa LA saba lazima awe na ufaulu Wa wastan Wa b na a, kweli hayo ni malipo ya elimu bure, hilo linaukweli
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wandugu kwanza napenda kutanguliza shukurani za dhati kwa wanajukwaa wote, kama heading inavyoeleza hapo juu mm ni nwalimu wa chemistry & Biology natafuta shule ya kufundisha hayo masomo tajwa...
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Habari ndugu zangu, bila kuchelewa naombeni chaguo moja kati ya hayoo hivi kati ya hizo courses mbili ipi ni best kwenye soko la ajira asanteni naombeni maoni yenu tafadhali..
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Kwanza nachukua fursa hii kumpongeza waziri wa elimu prof Ndalichako japo najua wachache watanielewa kutokana na mtazamo hasi zilianza kujengwa kwake. Ukweli ni kwamba sisi watanzania kwa sehemu...
5 Reactions
52 Replies
8K Views
aliyesoma ardhi university au anayesoma sasa HV pale kozi ya architecture anielezeee kuhusu Mzee mwakipesile
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jadili utata unaojitokeza katika unukuzi wa matamshi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukiambiwa utengeneze kitu ambacho mtu yeyote akikiona.,wakati anahuzuni afurahi gafla na akikiona wakati ana furaha ahuzunike gafla utatengeneza nini? Au kitu icho ni nini? Karibu Sana upate vocha
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Habari wakuu, natafuta mawasiliano na mwalimu wa musoma tech, itapendeza akiwa mkuu wa shule au mtaaluma au yeyote yule. Mwenye mawasiliano hayo anitumie kwenye namba 0753064252 au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom