Wakuu, tumesikia kesi aliyofunguliwa mwasisi wa JF. ukiitafakari kwa kina makosa aliyoshtakiwa utabaini kuwa serikali inahofu kubwa hasa kwa vijana kuungana kuyapinga yale wanayoyafanya. baadhi ya...
Chuo kikuu huria (open university) kimeendelea kuwasajili wanafunzi waliomaliza foundation course ambayo ni kinyume utaratibu serikali imepiga marufuku wanafunzi wa foundation course kusoma...
Mdogo wangu uliyepo chuo first year hii kozi nakushauri achana na CHUO sasa kabla hujachelewa na kuja kujutia mda wako. Hii degree kama hakuna ajira serikalini ni ya mwisho katika solo la ajira...
Ninawasalimu wana jamvi wote wa JamiiForums,
Ni majuzi tu nilibahatika kwenda Kandoto sekondari 19, Novemba 2016. kulikuwa na mahafali ya kidato cha nne. Wakati sherehe zikiendelea nikaona vitoto...
Nimekuwa kufarijiwa kwa muda mrefu kuwa nivumilie ajira za walimu zitatoka mapema. Ila sasa mpaka nimekata tamaa maana wanasiasa ni kawaida yao maneno mengi mwaka unaisha tunaingia mwaka mwingine...
Ndugu wana jf habari za wakati natafuta shule ya secondary mwanza yenye five na six ambayo ni day na yenye ada nafuu na isio na jina kubwa kitaifa mchepuo EGM
Asanteni
Serikali kupitia naibu waziri wa kilimo Bw. Godfrey Zambi imesema kuwa kwa sasa walimu waliopo wanatosha na haina mpango wa kuajiri walimu wapya kwa mkupuo ifikapo mwaka 2015 ila itaajiri tu...
kusema ukweli nilisubiri post kwahamu sana ila kunipanga serengeti nendeni wenyew mkafundishe siendi ng'oo bora nibaki mjasiliamali,tamisemi bhana mm niende Serengeti watoto wenu bank kuu,tra...
Kwa yeyote ambae aliechaguliwa na anaekijua hiki chuo naomba anieleweshe maana mdogo wangu kachaguliwa humo ila anaogopa akimaliza kama hajaajiriwa ndio amekaa nyumbani maana hakuna kujiajiri...
Naomba kujua kama naweza kumpeleka mtoto kuanza kidato cha tano shule ya serikali. Alishinda lakini kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu sikuweza kumpeleka. Naweza kumpeleka sasa?
Wote tumesikia tangazo la Tamisemi juu ya kuajili walimu wa Sayansi na Hesabu tu, Najua hili litazua mijadala ambayo itapelekea serikali kuwachukua kidogo sana walimu wa Sanaa Ili kukwepa...
Habari zenu wandugu, naombeni kwa wanaojua center nzuri kwaajili ya kurudia mtihani wa kidato cha nne maeneo ya tazara, buguruni au kariakoo, kama kuna mtu mwenye kujua center nzuri zilizopo...
Wanajamvi,
Poleni kwa mkasa wa Mkurugenzi wetu wa JF.
Nimepita sehemu mbalimbali hapa nchini kutafuta fursa za kufungua vituo vya day cares.Nimesikitishwa kuwa Wizara haina vigezo vinavyotumika...
Habar wana jamii Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tano nilikuwa naomba msaada wa shule za private ambazo in za A level kwa mkoa wa tanga hasa tanga mjini gharama za ada isizidi million 1.5 mwenye...
Wakuu mdogo wangu kasomea fani ya ualimu wa science kamaliza mwaka 2015,wameambiwa watume nakala za vyeti wizara ya elimu kwa ajili ya uhakiki wa ajira mpya.
Nipo hapa namsaidia kutuma email...
Km kwa sasa dvtion three wa kidato cha sita ana tupiwa certificate na wa o-level wenye dvtion 3 pia kisa kutofikisha GPA 4 na wanatoa chance ya diploma sec bt chache sana kulingana na wadau je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.