Heshima nyingi na za dhati kwa wanajukwaa wote!
Nina kijana wangu anasoma Mzumbe Chuo kikuu (Anasomea Sheria)
Naomba kujua hii mitihani ya Supplementary je inalipiwa pesa na kama inalipiwa ni...
Habari wana Jf,
Naomba kufahamishwa kama naweza kusoma upya somo la Biology O'level ili ku-replace somo la Geography kwenye cheti.
Hii ni kwa sababu mimi nilisoma Shule ya Ufundi.
Kwenye Shule...
kwa kila mwaka kumekuwa na ucheleweshwaji Wa makusudi Wa transcript na academic certificates suala linalopelekea vijana wengi waliomalizia chuoni hapo kushindwa kujitosa mapema kwenye pambano LA...
katika chuo cha kilimo au SUA
mpaka sasa kuna baadhi ya wanafunzi hawajapata bum kwa sababu zisizojulikana mfano kuna jamaa kaona jina kwenye allocation lakini wakati wa kusaini jina...
Kumekuwa na sintofahamu kuhusu ajira za walimu nchini hasa kwa wale waliohitimu mwaka 2015, hii inatokana na matamko mengi yasioleweka kwa viongozi wakubwa waliopo serikalini,
mfano viongozi hao...
Wakuu naomba kuuliza hivi!
kati ya hizo kozi kama zinavyotolewa kwenye program ya Bsc.informatics.Je, ipi ina lipa kwenye soko la ajira ? na kama inategemeana nifafanulie maana mwaka huu nina...
CHAMA CHA MAPINDUZI
SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU MKOA WA MBEYA.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Leo tarehe 19. 12. 2016 umefanyika mkutano mkuu wa dharula wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya...
MODES msiutoe uzi huu kuuchanganya kwingine plz.
Mwezi january 2013 nilisema kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa "TUNATAKA RAIS AJAYE AWE AMESOMA SHULE ZA KATA" maana atakuwa...
jamani mimi nimechaguliwa chuo cha ualimu wa masomo ya sayansi kreluu tc
lakini nmebahatika kupata saponsor ship kutoka serikalini
na nimeandikiwa kwenye profile langu nacte .
lakini nimejaribu...
Habarini wanajukwaa hili la elimu?
Kwa yeyote mwenye soft copy ya vitabu vifuatavyo naomba anisaidie, yaani anitumie.
1. Vanishing Shadows by Namige Kayondo
2. Divine Providence by S.N.Ndunguru
3...
habarn wadau, naombeni msaada kwa mwenyekuvijua vyuo vya ualimu vilivyopo mkoa wa Arusha, ualimu kwa shule za msingi, viwe vya selikari, kwamwenyekuvifaham pls antajie
Congratulations we made it!
Kwa namna ya pekee nawashukuru wote Kwa tulivyoshirikiana katika kufanikisha uombaji wa Hizi scholarship. Deadline Kwa masters ilikua juzi Dev 15, 2016. Taarifa...
MTIHANI WA URAIA.
Instructions.
1. Jibu maswali yote.
2. Povu haliruhusiwi kwenye chumba cha mtihani.
3. Hisia za aina yoyote hazitakiwi.
SERIKALI YA CCM IMEISHIWA PUMZI???:
Si maneno yangu bali...
wakuu kwenye tangazo la ndalichako sijaona sehemu imeandikwa walimu wa masomo ya commerce ..book keeping na economics ..kwaio na wao wamepigwa panga kudadeeeki .......
it is a can't believe event...
Mambo zenu jamani,
Anayejua wapi naweza kudownload free kabisa vitabu vya Marketing anijuze,especially vya kotler,armstrong na wengine maarufu bila ya longolongo za kujisajili.
Pia anaejua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.