Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Baada ya Wizara ya elimu kupitia NACTE kukagua vyuo na kufungia baadhi ya vyuo, zoezi hilo kuhamia Shule binafsi kupitia ukaguzi na uthibiti wa ubora wa shule. Kila nikizifikiria shule...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Iv na waliomaliza 2016 wao awausiki na ajira zitakazo toka ? Mbona wao wajahambiwa watume vyeti
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nikiwa ni mwanafunzi niliyesomea shule ya kata, ambapo kutokana na Ukosefu wa walimu wa sayansi, Headmaster aliamua kufuta masomo ya sayansi, na hivyo shule yetu kusajiliwa kwa masomo ya arts tu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu habarini za asubuhi, naomba kueleweshwa kwa wale waliokwisha kuhitimu chuo kikuu, eti G.P.A ya mwisho wanachukua ile ya semister ya mwisho ya mwaka wako wa mwisho au wanachukua jumla ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wahusika tunaomba kujua kwa nini KWA CERTIFICATE IN ACCOUNTANCY) , (sijui kozi zingine) chuo kinafunga mwezi huu December 2016, lakini kufungua ni March 2017. Calendar hiyo imekaaje tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
736 Views
Habari za asubuhi wadau,nimetafakari sana juu ya mambo yanavyokwenda katika sekta yetu ya elimu,hususan kwa waalimu wa science. Baada ya tafakuri yangu kwa muda mrefu,nimegundua kuwa,waalimu wa...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
wana JF naombeni ushauri nimechaguliwa kusoma MPPM kwa wale mliosoma hii course nipeni ushauri wa kama ni marketable in future
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nawezaje kupata scholarship kwa GPA ya 3.0 kwa Masters ya public health
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu NBAA wametoa matokeo ya pepa nzito zilizofanyika May 2015. Ni suala la aibu kwa sasa ukiingia website ya NBAA unakutana na kituko web haifungiki ''Account Suspended''. Jamii Forums ni kila...
1 Reactions
12 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu!? Ukipitia katika website ya tcu utaona habari mpya inayoonesha qualified and non qualified students wanaosoma diploma ya education st Joseph. Kwanza mwanzoni ile ilikuwa ni...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
watu wanaosoma course za arts mfn, bussiness au ht sanaa na maigizo nao wamekua wakiwadharau walimu( science au arts) sion msing wa kufanya hivyo kwani mwl anasoma vitu vya kitaalam sn, mfn mwl wa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau nimesikia matangazo clouds FM ya Kampun ya African Microfinance LTD kuwa inatoa mikopo kwa wanafunz wa elimu ya juu waliokosa mkopo. Naomba ufafanuzi juu ya hii kampuni maana ni muanga wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa mm ni mwenyeji wa dar, lakini kwa sasa nipo Bukoba nahitaji kurudia mitihani anaefahamu kituo kizuri cha kurudia mitihani naomba anisaidie kwa hapa bukoba
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kazi za hawa jamaa ni zipi? Kazi ipi inalipa kuliko nyingine?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu Naomba kuuliza kwa wanaomjua Dr manoko yukoje hasa kwenye mitihani anaefundisha botany..taxonomy of higher plant maana coz ni ngumu kwa wengi wetu.....
0 Reactions
17 Replies
2K Views
kama kichwa kinavyojieleza naomba kupata kitabu kiitwacho PRODUCTION ECONOMICS Theory with application kimeandikwa na John P. Doll & Frank Orazem Ntashukuru sana Nawasilisha c.c Chief-Mkwawa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Guidance Notifiable diseases and causative organisms: how to report From: Public Health England Part of: Notifications of infectious diseases (NOIDs) and Health emergency planning First...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Mbunge wa Viti maalumu (CCM), Aysharose Mattembe, kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA), ameandaa kampeni kwa vijana mkoa wa Singida juu ya elimu ya afya ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninajipanga Ili Mwaka Huu Niweze Kufanya Mtihani ISACA Ili Niwe CISA, Kwa Mtu Yeyote Aliyewahi Kufanya Huu Mtihani, Naomba Kujua Challenges Zake Na Mengineyo Ambayo Yanaweza Kunisaidia.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
True Ink Associates would like to Announce that CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Class is scheduled to commence on Monday 28/11/2016, Dar Es Salaam City Center, Golden Jubilee...
0 Reactions
11 Replies
959 Views
Back
Top Bottom