wadau walosoma zamani kidogo na hata sasa ni shule gani enzi hizo zilikua zikisifika kwa ugomvi na migomo... Binafsi nilikua nasikia kuhusu milambo,kibiti na tambaza mpaka nikatamani japo nisome...
Naomba kuuliza nimesikia kua ajira za mwaka 2016-2017 lazimq uwe na gpa ya 3.8 sawa kama ni kweli naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa kamili na kwa wale wenzangu na mimi ulipewa mkopo na...
Leo hii ukimuuliza mwanafunzi yeyote wa O level,A level ndoto yake ni ili awe nani au anasoma ili afanyaje 95% watakupa jibu wanasoma ili aajiriwe kitengo chochote aidha serikalini au sector...
KTH Royal Institute of Technology is a university in Stockholm, Sweden. KTH was founded in 1827 as Sweden’s first polytechnic and is one of Scandinavia’s largest institutions of higher education...
Habari wanajamvi!
Mimi ni kijana niliemaliza form six mwaka huu 2016. Nimefanikiwa kufaulu ila tatizo kubwa ni uchaguaji wa kozi unanipa hali ngumu mpaka kufikia kujilazimisha...
Jana jumatatu tulifanya uchaguzi wa raisi wa chuo ambao ulifanyika Kwa amani Na kufikia tamati saa kumi kamili jioni Na muda wa saa nne usiku matokeo yalitoka yakionyesha bwana Edward Kunyara...
Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza wa udaktari hapa Hubert Kairuki memorial University HKMU. Sijawahi panga kusoma katika hiki chuo kutokana na ada yake kuwa kubwa lakini kutokana na passion yangu...
Applications are for the students from developing countries like Tanzania. Scholarships are offered for training and masters programs at a Flemish university or university college in Belgium. More...
Commonwealth Scholarship Commission in the United Kingdom (CSC) in partnership with UK universities offers Commonwealth Shared Scholarships for students from developing Commonwealth countries...
The university of Tsukuba offers a range of different scholarship programs for international students to help cover tuition fees or living costs to study in Japan. Students from developing...
U.S. Department of State is inviting applications for Global Undergraduate Exchange Program (Global UGRAD). The program provides one semester scholarships to outstanding undergraduate students...
Mliochaguliwa hizi degree programs pale UDSM, mkawe makini, vingnevyo mtaisoma number
1.civil engineering
2.electrical engineering
3.mechanical eng
4.mining eng
5.physics
6.economics
7.statistics
Kumekua na wimbi kubwa la nyuzi umu jukwaani zinazohusu GPA na AJIRA. Ambazo ukichunguza kwa umakini hazina ukweli ndani yake. Ebu Acheni kupospt mada za namna hii wengine umu hatupo vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.