Ndg zangu nimepata bahati ya kuhudhuria graduation ya chuo cha st john campus ya Dodoma cha kushangaza hata wahitimu wa certificate na diploma wote walivaa majoho kinyume na agizo la Mh waziri wa...
Nimekuwa mdau wa Elimu muda wote
Hivi karibuni tumekuwa tukishuhudia matamko na maelezo mengi tu kutoka kwa wadau mbalimbali wa elimu.
Leo hoja yangu ni kuwa je Elimu ya FOUNDATION inatosha...
Habar ndg zng,samahan naomba maelezo jinsi ya kutumia hii program coz nmejarbu kufuatilia jinsi ya kutumia lkn bdo kiza kmetawala!
Natanguliza shukrani
Jamani naomba mwenye uelewa wa kwa nini Seminari za kidini (dini zote) wanafunzi wake hufaulu sana kwenye mitihani ya kitaifa? (CSEE & ACSEE) nimefuatilia matokeo yao kwa muda mrefu, naona ni watu...
Mashindano hayo yalihusisha nchi 26, vyuo 61 vya Africa, washiriki 1529 kutoka Africa na jumla ya mawazo(ideas) 734 zilishindanishwa.Yalihusu sana ujasiriamali ambapo washiriki katika makundi...
Nimepata taarifa kutok baadh ya wanafunz wa chuo flan walikwisha appeal mapem mno BAADA YA tangazo la heslb kwamba sas hiv washapewa mikopo, ningependa kujua km wapo humu nipate uthibitisho km...
Poleni na majukumu wana jf
Lengo la kuleta uzi huu ni kutaka kujua kuhusu hiki chuo cha DAR ES SALAM MARITIME INSTITUTE. Mwenye idea nacho kuhusu location yake, elimu inayotolewa na vile vile...
It was announced sometime back that internship for Medical graduates has been suspended until further notice! Could anybody please let us know the position of this suspension to-date
Nilisoma UDOM katika college ya Natural and Math science, Bsc Physics. Baada ya kuona haina tija katika maish yangu nikaacha.
Nilichogundua nikwamba Chuo cha UDOM kipo kwa ajili ya urasimu na sio...
Nimeanza kuona juhudi za serikali katika koboresha elimu nchini. Ingawa walimu tumedharaulika sana katika nchi hii, lakini nimeanza kunusa juhud za serikali kwa mbali.
Nafundisha katika shule ya...
Huenda mwaka ujao 2017 serikali ikatangaza ajira mpya baada ya kukaa kimya kwa muda, tuendelee kuvuta subira na kuiamini serikali iliyopo madarakani kwani inaandaa mikakati madhubuti
Wana JF, nasikia selection za form 1 2017 zimetoka. Je ni kweli? Kama ni kweli naomba mwenye link atuwekee hapa tafadhali.
Nimetafuta kwa ku-google sijapata.
karibun sana wana jf napenda kutoa taarifa kua kwa anaehitaj shule za private kwaajir ya kwendelea na kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2014/2015 aje TAQWA PRIVATE HIGH SCHOOL iliyopo MWANZA...
Good Morning Tanzania.
Anaejua tuition center Dsm, masomo ya science Kidato cha Tano (Kemia, fizikia na baolojia)
Tafadhari mdaada .
Regards,
Game over.
Bila shaka kila m1 Wetu apa ana machache ya kuyakumbuka wakati wa majira ya mvua kama haya. Alipokua shule ya msingi, je wewe unakumbuka tukio gani? Karibu mwana jf
Mungu akipenda mwakani anaingia standard four na huu ni moja ya mtihani wake ktk somo la Jiografia ambao aliufanya mwezi wa 11/2016 katika muhula wa mwisho wa kufungia mwaka.
Ukiwa kama mzazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.