Jamani hata kama huna uwezo wa kulipa nenda kahakiki deni lako Bodi, hali sio nzuri. Kinachoendela sasa ni kubambikiana madeni kulikokithiri, so usipoangalia utalipia hadi wadaiwa hewa.
Leo katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kulikuwa na ombi kutoka kwa Vice Chancellor Prof. Bisanda kwamba chuo chake kiruhusiwe kudahili wanafunzi chini ya vigezo vilivyowekwa na...
Wanafunzi 316 waliokuwa wakisoma katika Chuo Kikuu cha St. Joseph ambao walirudishwa nyumbani kwa kuwa hawana sifa, wamefungua kesi ya madai ya Sh 6 bilioni katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es...
Wanajamvi ninaomba kuijua
hii course ya post graduate diploma in law jins ilivyo na inavyotolewa, je mtu akimaliza hii program anawexa kwenda law school. nimeona inatolewa na OUT na CHUO cha RUCO.
Wakuu nimemaliza diploma ya Civil engneer miaka 3 iliyopita na mwaka huu niliaply chuo lakini nkapangiwa kusoma water resources and irrigation engineering pale chuo cha maji ubungo na bwa mkubwa...
Naomba kufahamu chuo cha bustani first year waishaanza au bado maana nimepata transfer hapo msaada please kwa anekifam anipm 0758494651 nataka nikaripoti first year
Napenda kuweka maandiko yangu hapa kuishauri wizara ya Elimu,sayansi ,technolojia na ufundi,kuwa mtihani was form two ufutwe badala yake walimu wapewe mamlaka ya kuchuja kila darasa kuanzia form...
Mimi ni mwanafunz niliechaguliwa st joseph univesity lakin nimeshindwa kujiunga na wenzangu mwaka huu.
Kwasababu ya ukosefu wa ada sasa naomba mnisaidie kama sijaenda kuripot chuo je mwakan...
Kwenu wahandisi wa Tanzania.
Nasema na wahandisi ambao wanasoma wakiwa na malengo ya kuajiriwa, ajira zipo lakini kipato hakina uwiano na muda na akili nyingi ulizosota kusoma mizigo ya vitabu...
tumeshuhudia vyuo vilivyoanzishwa miaka ya hivi karibuni kama udom product zake zikifanya mambo makubwa na ya kuonekana mfano mwanafunzi kutengeneza mtandao Wa 2days sky na mashindano ya MTN. cha...
Napenda bodi kurejea tena masharti ya MTU kupata mkopo wa elimu ya juu.binafsi sioni sababu ya kufuta mikopo kwa watumishi kwani wao ndio wana uhakika wa kulipa,Nashauri bodi irekekebishe tu...
Heshima kwenu wadau wa elimu.
Leo nimekuja na hii, nimekuja na hoja ya kumpiga teke chura..
Takribani miaka kama miwili hivi iliyopita na kurudi nyuma huko somo la General Studies lilipewa uzito...
Habarini wanajamvi
Nasikitishwa na kitendo cha NACTE kuendelea kudahili mafunzo ya ualimu 2016/17. wakati kuna walaka umeshatolewa kwamba NACTE hawaruhusiwi kudahili tena kwani utaratibu...
Habari wakuu napenda kuuliza tahilso walituarifu kuwa tusijaze zile form za dodoso la loan board.
Hadi muda watapokaa na management ya board na Waziri.
Je majibu yalikuwaje na Je tujaze au not?
mpaka sasa mwezi unaelekea was pili sasa sijui tatizo nini majina wanatoa mawili mawili tutakufa na njaa aseee...maisha magumu huku wengine washapata wachache sisi tunaisoma nambaa mpaka Leo...
Habari wanajamvi.
Nasikitishwa na hali ya kutokuwa na mtandao unaokidhi viwango kwa ajili ya mawasiliano na Internet. Jambo hili linatusumbua kwa kiasi kikubwa. Sio Voda, Tigo, Airtel wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.