Jamani samahanini nyote kwa usumbufu kwa heshima na taadhima ningeomba kwa yeyote yule ambaye anayejua vyuo vya kusomea utangazaji wa radio huku arusha na moshi ningeomba anifahamishe ila hata...
Naomba msaada, nawezaje kupata Application ya PC Windows yenye uwezo wa kutengeneza matokeo ya wanafunzi (form 1 hadi 6), na pia kama inauwezo wakutoa report forms?
Vile vile nahitaji application...
Kwanza ilitolewa orodha ya tangu 1990s hadi 2014
Baadae ikaondolewa na kuletwa ya 2008 to 2011 (zote ninazo)
Muda huu orodha zinaredirect OLAS na OLAS ni empty!!
Acheni kwenda Ulaya kushangaa...
SOMO LA MATHEMATICS KUITWA UGONJWA WA TAIFA KWA WANAFUNZI
Kwanini Somo Hili ni Gumu sana?
Kadri miaka inavyozidi kwenda ndio thamani ya madarasa inapungua, nikimaanisha kwa
aliyemaliza kidato...
Watoto walioingia kidato cha tano mwaka huu walifanya hivyo bila ada elekezi hivyo kulipa ada bila mpango unaoeleweka kinyume na ahadi ya waziri. Sasa januari ijayo watoto wanatakiwa kuanza kidato...
Ndugu zangu,mimi ni mwajiriwa wa serikali katika sekta ya Afya. Nimeajiriwa Halmashauri moja hivi.
Nakuja kwenu kuomba msaada/njia au maelekezo ya jinsi gani naweza kuhama kutoka hii Halmashauri...
Habari za wakati huu home of great thinker .Najua humu wapo wadau wengi tu wa elimu ya juu. Nataka niwakumbushe kitu bodi ya mikopo kuhusu chuo cha Bahari...
Heshima kwenu wanajamvi!
Ni muda sasa umepita toka Bodi ya mikopo ya elimu ya juu kutoa taarifa ya ujazaji wa dodoso ili kuboresha taarifa za waombaji hususani sisi continuing students. Lakini...
Kumbe vyuo visivyokuwa na accreditation an Marekeni vipo! Trump university ulikuwa ni utapeli. Soma chini!
Trump University - Wikipedia
Msiwalaumu sana Nacte na TCU
Mimi nilihitimu kidato cha nne mwaka 2009 kwa ufahulu wa dv 4 pnt 27 na nilikuwa arts. Niko interested sana na computer. Ni coz gani itanifaa kwenye vyuo vya engineering kama DIT?
Da, iliniuma nilipo kuwa nchi jirani kuangalia tv naambiwa shule niliyopata kusoma enzi hizo ikiwa shule ya vipaji leo hii inakuw shule ya 9 kutoka mwisho, means vilaza product, please tulio soma...
Habari wadau., naomba kama kuna mtu mwenye soft copy ya majina ya mkopo kwa continuing students. Kuna mdogo wangu kaniambia kanyimwa mkopo na alikua anapata huko nyuma. Kimsingi simuamini sana...
Nasema hili kwa uchungu kwani mpaka leo sijachaguliwa kila nikiingia kwenye profile yangu neno hili nalikuta kila siku "system is closed for selection".
Mbona hawatuweki wazi kama wamemaliza kama...
Habari zenu waungwana,nina swali naomba kuuliza nina rafiki yangu anapenda kuja kusomea maswala ya sound engeening je kwa hapa bongo ni vyuo gani vinavyotoa hii fani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.