Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kuuliza kwenu ndugu zangu, kwa maisha yalivyo ya Dar-es-salaam kama mtu amekosa mkopo hata asilimia sifuri hajapewa lakini amepata nafasi ya wazazi na ndugu kujichanga ili aweze kuendelea...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya kuaply chuo TCU nimechaguliwa chuo fulani lakini nahitaji nihamishiwe Open University. Naomba kuuliza, je inawezekana?
1 Reactions
0 Replies
730 Views
Wanajamvi hili jambo limekaaje? Watoto wanaoingia darasa la kwanza wanafanyiwa face to face interview na wakishindwa wanarudi nyumbani hata kama miaka inamfaa aanze darasa la kwanza. Hivi mtu...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Academician habari za jioni hii, tafadhari kwa heshima naomba kuleta hoja yangu mezani kwenu nyie kama wasomi na watu weredi wenye ujuzi mbalimbali. Nahitaji kujifunza lugha za kigeni mfano...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau habari za mchana! Naomba kwa mwenye kujuwa chochote kuhusu kozi ya Bachelor of Science with Education uendeshaji wake na uzuri wake chuo tajwa hapo juu.
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Wadau habarini za mchana! Jamani nakuja mbele yenu nikitumaini mtanisaidia kwa wale wenye uelewa haujalishi kwa kiasi gani mnatambua. Jamani mimi nakuja kwenu nina ndoto ya kuwa rubani wa ndege...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ya nchi ya zanzibar imetoa mikopo kwa wanafunzi wa nchi hiyo kwa kuzingatia vipaumbele vilivyoanishwa katika mpango wa miaka mitano 2015 hadi 2020.Vipaumbele vya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wapendwa wana JamiiForums mimi ni mtanzania nimepata kuhamishwa kazi natoka Geita naenda Mtwara. Ninatafuta uhamisho wa watoto wangu kwenye shule ya serikali ya bweni, mmoja wa kike mwingine wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
I would recommend this video to all. The documentary was taken in Indian but the issue raised in this documentary may be helpful/useful to us. Just click in this link http://youtu.be/oDxYWspiN-8...
0 Reactions
0 Replies
514 Views
Jamani naombeni msaada wenu ni mepata 4 ya 26 ila mathy na phys nina C na bios na chemis ni na D napata chuo gani na labda chuo cha afya naweza kwenda na fact gani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam.. Tafadhali ninaomba msaada wa kujua ada ya kusomo masters in hydrology chuo kukuu cha Dar es salaam. Natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mtoto wa kike msichana alimaliza olevel last year.akapata nafasi ya kuingia advance.alipangiwa kigoma,malagarasi hakwenda sbb wazazi hawakuwa na uwezo ..binti anataka kusoma tunaweza msaidiaje?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Enyi wadaiwa sugu wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu sie wadogo zenu tunalia tunaomba mrudishe hiyo mikopo ili nasi tuweze kukopeshwa. Tunafahamu nyie mko kwenye viyoyozi mmejiajiri na wengine ni...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wana JF, Naomba kujulishwa kuhusu suala nzima la ulipaji mshahara kwa wafanyakazi wa Serikali mfano,mwalimu wa shahada anayefundisha shule iliyopo Zanzibar analingana mshahara na yule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari kwenu nyote wanajamvii,poleni na majukumu ya kila iitwayo siku, Ningependa kuhabarishwa kuhusu ufunguzi wa dirisha la kuapeal mkopo wa elim ya juu (hesleb). Naomba kujua kama kunamtu mwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri wa elimu sayansi na teknolojia Prof Ndalichako amewatupia lawama bodi ya mkopo elimu ya juu kuwa wanafanya kazi kwa mazoea amesema pamoja na kutumia jitiada za kusafisha watumishi bodi hiyo...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Rafiki yangu ana soma mzumbe mwaka wa 2 matokeo yame toka amedisko...ana fanya mpango wa ku appeal ..da namuonea sana huruma mana jana jilipia ata bumu hapati ..ALAFU NI MTOTO WA...
4 Reactions
74 Replies
8K Views
Msaada natafuta mawasiliano kwa yeyote anayefahamu Shule ipo singida manyoni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kumekuwa na hali ya kutofuatilia kwa makini habari kabla ya kuja kuiposti humu Kuhusiana na serikali kufuta mafunzo ya ualimu wa shule ya msingi kwa ngazi ya diploma...nimewakopia kipande hiki ili...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
#Habari:Wanafunzi wa Chuo cha kodi Mikocheni jijini Dar es Salaam wapiga kambi katika ofisi za ITV, na kupaza sauti zao kwa kuiomba serikali kushughulikia suala la mikopo ambalo linawakabili kwa...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Back
Top Bottom