Naomba munisaidie wadae mm nmechaguliw na company fulan inaitwa relen consultant kwenda kufanya interview tareh 19 mwezi huu ila tatizo mmeambiw kweny SMS kuwa nitum sh, 20000 kupitia aetel money...
Naitwa Shafir Zubail, mhitimu wa kidato cha nne 2010. Shule nimesoma ya serikali ya Kaigara Shule ya Sekondari, ila kulingana na hali ngumu ya kimaisha ya hapa nyumbani sikuweza kufaulu kuwndelea...
Mimi niliomba chuo kwenda kusoma degree kwa sifa za equivalent na nikachaguliwa chuo kimojawapo hapa nchini nilijulishwa kupitia profile account yangu .Baadae nikafutwa na kufungiwa account yangu...
Habari, niko mwaka wa 3 jina langu la kupata fedha kwa ajili ya chakula na malazi halijakuja chuoni. Sio peke yngu wako wengine baadhi lakini tatizo ni supplementary nilokuwa nayo lakini nimesha...
Ni mwalimu wa Hisabati Shule ya Msingi Kimara B wilayani Kinondoni.
Mwanafunzi aliyepata alama 50 juu ya 50 katika somo la Hisabati alifundishwa na mwalimu huyu
aitwaye Aron Athanas
Kwa mujib wa...
Wadau, amani iwe kwenu.
Sasa naona baadhi ya vyuo wameshaanza kumuelewa Rais wetu. Utaratibu huu wa UDOM ukiendelea hadi kwenye vyuo vingine hakika hakutakuwa na malalamiko ya wanavyuo...
Namshukuru mungu kwa kunifikisha siku muhimu kama ya leo
Kuna watu wengi wametamani kufika lakin wengne hawakufika kwa maradhi, kifo na kutokufuzu.
But leo wanajamiiforums nimefanya mahafali...
Habari wana jf,
Naomba kuuliza TCU wanatoa lini matokeo ya wenye diplama kwenda degree raundi ya nne maana siku zinaenda wenzetu wanaendelea kusoma......
ikumbukwe kuwa kulikuwa na mpango wa walimu wa astashahada(certificate) kuhakikisha wanajiendeleza na kuwa na stashahada...sasa jana nikiwa ofisini ktk chuo kimoja cha ualimu mkuu akanidokeza kuwa...
Yapita sasa wiki tatu na wengine wiki NNE bila boom wengine hatujaona maina ya kusaini ilihali vyuo vingine mambo ni poa. Huku kwetu vipi tumekopa hadi basi. Saidieni kutufikishia ujumbe majuu au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.