Wanabodi,
Husika na title hapo juu,
Ningependa kufahamu utaratibu mzima ukoje
Pamoja na gharama zake zikoje
Nimejaribu kuwatumia Necta emails hawajibu.
Na simu zao hazipatikani
Huku...
Habarini wadau naomben mwenye kujua kiundan chuo cha jordan hasa kwa kitivo cha sheria yaan taaluma kikoje?? Waalimu wapo wa kutosha?? Naomben msaada tafadhali
Katika mahojiano yale naona anataka kibaki udom na udsm kwan Maelezo yake yanalenga huko hata mzumbe ilitakiwa iwe college tu.kasema sio kila MTU anaanzisha chuo na kutaka pesa za mkopo zipelekwe...
wadau za asubuhii, i hopee nyinyi ni wazima wa afyaa... sasa ndugu zangu kuna siku niliona link moja yenye notes (PDF) za civil engineering basi naombeni kama kuna mtu anakumbuka ile thread...
habari zenu wakuu wa education forum..
nimemaliza masomo yangu ya shahada ya kwanza ya IT ila ninapenda kujiunga na masomo ya clinical officer.. mwenye taarifa ya vigezo vinavyohitajika anisaidie...
Wakuu hivi ELIMU bure bila kuwajali walimu kweli lengo litafikiwa?
Watz wanafurahishwa na kauli hii lakini je wanajua faida na hasara za ELIMU bure? Kwa taarifa ya uhakika niliyo nayo walimu wa...
College of Cross-Cultural and Multidisciplinary Studies at Kumamoto University is pleased to offer scholarships for international students to study in Japan. The Spring Program offers two courses...
Mi nimechaguliwa hapa mwaka huu kusomea education in special needs science subject anefahamu hii kozi upande wa ajira anijuze na mazingira ya chuo kwa ujumla nawasilisha
habari zenuu,wanafunzii wa mwakaa wa kwanza wachuo cha udsm wapewa boom zilee za asilimia sioo laki 710 kama ndalichkoo halivyosemaa,mfanoo mwingnee kapewa lak4,mwingne laki 6
Ndg wana JF, nakuja kwenu kuomba msaada, nime google sana online sijaweza kupata matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya mwaka 1993. Naomba msaada au link inayoweza kunipa hayo matokeo.
Wakuu salaam sana juu yenu natumai ni wazima.
Swali langu ni kuhusu hii kozi ya mechanical engineering kwa hapa Tanzania,hivi wanafunzi wa hio kozi wanafundishwa tu...
Mimi ni miongoni mwa wahitimu wa diploma tuliochaguliwa kujiunga na shahada ya kwanza katika fani za kipaumbele. Naomba kuwaulizeni hivi mikopo watu wa diploma haituhusu kwa mwaka huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.