Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ndugu zangu naombeni ushauri wenu mm nimesoma sheria katika chuo cha utumishi (Tpsc) wa umma Mtwara , na nataka kuendelea na elimu ya juu lkn cha ajabu nataka kuendelea na bachelor , nimefika...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Eti Huduma ya kwanza kwa MTU aliyepandisha mapepo ni ipi : Swali la pili Education diploma assignment Changamoto 6 zilizopo katika utoaji Huduma ya kwanza Ukosefu wa sanduku/vifaa na elimu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani nmewapigia simu loan board wameniambia hakuna tena majina Ila 5000 yaliobaki ni kwa wale watakao appeals. Sasa jamani ntafanyaje?? Sina uwezo wa kujisomesha. Au walitaka nidanganye mimi...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Open University wamebadili tarehe ya Orientation kwa Mara nyingine tens toka tarehe 12-14 November mpaka 2-4 December.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani hizi nyuzi za mikopo tuachieni first year na wenye mapenzi ya Dhati kutupigania juu ya haya ila kuna baadhi ya watu badala ya kutoa solution mnaanza mambo ya vyama na siasa Tatizo ni...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Sikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu Tanzania (TAHLISO) limetoa muda wa wiki moja kwa wanafunzi waliokosa mikopo licha ya kuwa na vigezo vyote ikiwemo uhitaji kusikilizwa na serikali kabla...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatimaye uvumilivu umewashinda vijana wa udsm na kuamua kugoma. source.Mabibo hostel. Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamekesha usiku wa kuamkia leo Novemba 4, 2016 ikiwa ni...
1 Reactions
77 Replies
13K Views
Wanafunzi Elimu Ya Juu Watengewa Bilioni 483 Za Mikopo Wanafunzi Elimu Ya Juu Watengewa Bilioni 483 Za Mikopo - MUUNGWANA BLOG
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Mwenye uelewa na hili suala anieleweshe
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji na Vipindi, Ruge Mutahaba akizungumza leo na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - TAMISEMI, George Simbachawene mara baada ya...
2 Reactions
63 Replies
27K Views
Wana JF naomba msaada kwa waliosoma na wanaosoma Tanga tech a-level kuhusu kitaaluma, mazngira, wanafunzi, walimu na shule kiujumla maana nimechaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka huu...
0 Reactions
65 Replies
14K Views
Hivi kama nimesha sajiliwa katika Chuo ninachotaka kuhama kuna uwezekano? Msaada tafadhali
0 Reactions
3 Replies
547 Views
Jamani naomba kujuzwa nini hasa kazi ya maphamasia,fursa sake za ajira na hali halisi ya ufanyaji wa kazi kwa maphamasia Hapa Tanzania
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nilikuwa ofisi za TCU leo zilizopo maeneo ya Mikocheni. Kilichonipeleka ni shida waliopata watoto fulani ambao wapo mkoani wakati wakifanya application kwa ajili ya admission ya vyuo vikuu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jaman Wana Jamii forum, naomba mnisaidie kwa hili, nime sikia tete si kwamba serikali eti kwenye mpango wa kuajiri walimu mwaka huu 2016, itaajiri hata wale walio maliza masomo mwaka huu 2016 yaan...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Habari zenu watu wa Mungu, jamani naomba mnifahamishe napenda kujua account yangu bado inasomeka hivi inamaanisha nini ndugu nisaidieni. Ahsante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Soma hapa kujua mkakati wa kusaini pesa za kujikimu hata kabla hujamaliza kulipa ada Serikali ya wanafunzi chuo kikuu cha Dodom (UDOSO) imewasilisha mkakati mpya kwenye suala la kusaini pesa za...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna diploma holder aliyepata mkopo had sasa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nasikia sikia tu Mabilioni 483 kwa ajili ya wanafunzi vyuo vikuu elfu ishirini na nano na 717 waliopangiwa mkopo cha kushangaza umati wetu sisi wanavyuo hewa Hizo hela zi wapi ili hali...
1 Reactions
1 Replies
629 Views
HESLB imesema kwa mwaka 2016/2017 haitatoa mikopo ya elimu ya juu kwa Diploma Holders wote walioaply kujiunga na vyuo vikuu, hii ni taarifa mpya kutolewa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu [HESLB]...
19 Reactions
46 Replies
5K Views
Back
Top Bottom