Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Watiwa Mbaroni Kwa kuvujisha mtihani FEKI wa kidato cha nne Watiwa Mbaroni Kwa kuvujisha mtihani FEKI wa kidato cha nne | MPEKUZI
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Wana jf kuna ndugu yangu amekosa mkopo wa kusoma chuo kwa 2014/2015. Ina maana hatapewa pia meal and accomodation allowance? Msaada tafadhali
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Zaidi ya nusu ya vijana hawana mikopo, wamalizao Diploma pia wametoswa, wenye miaka 30 wanatoswa! Waliopata mikopo wamejikunyata kimyaaa, madhila ya waliokosa hayawahusu! Waathirika na wahusika...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Make no mistake, anyone can change your OLAMS password and access your private data provided one has your phone number + form 4 index number. HESLB should do something about this ASAP
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna jambo najiuliza tu hivi bodi ya mikopo iko sahihi inapotangaza siku 90 za kukata rufaa kwa wanafunzi wote waliokosa mikopo, hivi kwa hali ya kawaida tu hizo siku 90 mwanafunz ataishije...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwako mkuu wa chuo, kwanza salaam Ningeomba niwakilishe hili wazo langu ambalo nafikiri litasaidia pia katika mpango mzima wa Mh Rais wa kufikia hii nchi kua ya viwanda na pia kufikia uchumi wa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wale continous allocation zao zimetoka lkn kama ulisup...au ulishikwa hata coursework moja mkopo haupo labda batch inginee
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Hivi hii branch inawatu wanaojielewa kweli, unapiga simu weeeeee mpaka chaji inaisha, simu inaita siku nzima wao hawapokei…. Sijui walioajiliwa Reception wanafanya kazi gani?! Badilikeni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama mtakuwa mnakumbuka vizuri ilikuwa ni takriban majuma mawili yamepita tangu rais wa CWT atamke kuwa anaipa serikali muda mpk Oct 31, 2016 maden yote iwe imelipa kwa kada hii iliyosahaulika ktk...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hatimaye bodi ya mikopo yawapa mikopo wanafunzi wote wenye uhiitaji na majina yataaanza kutolewa jioni hayo yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo alipokuwa akihojiwa na clouds radio...
2 Reactions
73 Replies
10K Views
Jaman kuna first year yoyote aliechaguliwa instute of social wok dar...kama yupo naomba tupeane Mawazo utaratibu wa hapo..
0 Reactions
3 Replies
903 Views
Naomba mnisaidie kujibu swali husika; (a) Mvua za masika, mvua za vuli, mvua za upepo. (b) Mvua za myuko, mvua za milimani, mvua za mseto. (c) Mvua za hapa na pale, mvua za mjini, mvua za mawe.
0 Reactions
1 Replies
15K Views
Wanafunzi wenye diploma hawatopata mikopo, wenye umri zaidi ya miaka 30 hawatapata, waliosoma shule binafsi hawatapata mikopo, watahiniwa binafsi hawatapata mikopo na mbaya zaidi hata wale...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Dogo kachuguliwa Chuo cha Uhandisi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam lakini amekosa mkopo. Hivi ada ya UDSM kwa upande wa Engineering ni kiasi gani kwa sasa?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana wa JF habari, Kama kuna mtu anayemfahamu Ndg. EDSON MWAKYOMBE mwanafunzi wa chuo ambaye alitoka kwenye gazeti la Mwananchi akilia baada ya kukosa mkopo naomba anitumie mawasiliano yake kuna...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Sera ya elimu bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne imechangia kwa kiasi kikubwa kwa wanavyuo kukosa mkopo Pesa ambazo zingetumika kugawa mikopo ndo hizo hizo zimegharamia elimu bure...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Mh.Waziri wa Elimu kwa heshima na taadhima mpangie kazi nyingine mkuu huyo wa chuo, ana wanyanyasa watoto wetu.Wanafunzi wameripoti mwanzo wa muhula, hawajapewa magodoro na huduma ya chakula...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Koz kat ya clinical medicine na phamaceutical science
0 Reactions
3 Replies
754 Views
kwa hakuna mkopo kwa wanafunzi waliomalizia shule za private
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Bodi ya mokopo ya elimu ya juu imeanza kutoa mikopo kwa waombaji wenye uhiitaji maalum. Hii itajumuisha mayatima wenye kutoka familia duni ppamoja na wenye ulemavu. Kama haupo kwenye category...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom