Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wadau! Mimi ni mwanafunzi ambaye mwaka huu nilitarajiwa kuwa chuo mwaka wa kwanza TEKU ila kwa hali ilivyokuwa kusoma basi. Mikopo 0 basi hata hali ya uchumi kwa wazazi basi iwe nzur but...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa siku 90 kuanzia jana Oktoba 31, 2016 kwa waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2016/2017 kukata rufaa kwa njia ya mtandao ikiwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Thread ipo jukwaa la tech ingia hapa
0 Reactions
0 Replies
761 Views
UPDATE Elimu ya Juu: Edson Mwakyombe analia. Analia kwa uchungu na huzuni mkubwa. Analia kwa sababu ndoto zake zimekutana na kikwazo. Sisemi kwamba hazitatimia kwa sababu hatujui Mungu ana...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
1 Reactions
1 Replies
775 Views
Jaman Mimi ni mmoja Wa wanafunzi ambao tuliapply 4th round naomba mwenye taarifa wanatowalin anisaidie!!!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo ni siku ya maumivu pia ni siku ya heri kwa wale wanafunzi wanaofanya mitihani yao ya kidato cha nne, QT pia na wale wanaofanya mitihani ya board ya uhasibu na wengine, bila shaka hakuma kitu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Angalia wanufaika wa mkopo kwa wanafunzi wa Mzumbe...haya hapa majina...!!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo hi bodi ya mikopo elimu ya juu imefungua mtandao kwa ajili ya waombaji waliokosa mkopo kukata rufaa na miongoni mwa vipengele vya kujaza ni mali anazomiliki mwombaji na mahali zilipo Ivi...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB), imetangaza mpango wa kupitia upya na kusitisha mikopo wanafunzi wote inaodai kuwa walipewa mikopo lakini hawakidhi vigezo vipya vya utolewaji...
10 Reactions
137 Replies
15K Views
kwa sasa bod ya mikopo,hawaelewi na hawako well organized,ktk zoez mzima la. Kutoa mikopo,Mimi nilichaguliwa course priority mwaka jana bachelor of education with math,ckupata mkopo,ni...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
watu wengi nikiwemo mm nlijaribu ku login kwenye account yangu ili kuona kujaza hilo dodoso lakini cha ajabu naambiwa niingize neno lilopo below lakin cjafanikiwa kwa maana inagoma login ..sasa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuhusu Dododo ni hadi continue au First year 2!!!?
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Je kuna diploma holders ambao wamekwisha pata mkopo?,maana hali huku siyo shwari majina chuoni yametoka ila langu na ya wenzangu watano niliyotokanao diploma hayapo na programmes tulizopata wote...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Dodoso limetoka,jaribu kulog in kama mtu aliedahiliwa tayari utaliona dodoso.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jamani wanajamvi kwanza naomba maadimin wasiuunganishe huu uzi na uzi mwingine lengo nikuelezea bayana wizi ambao bodi ya mikopo inataka kuwafanyia wananchi maskini. Kwanza ikimbukwe waliiomba...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
za asubuhi ndugu Zanguni mimi nilikuwa naomba mwenye uelewa anifahamishe juu ya koz ya diploma hiyo ya education technology je, mtu akisoma anakuwa mwalim ???? au anakuwa nani????? maana kunda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ile form ya pale HESLB ni kwa ajili ya wanao-appeal au dodoso ya continuous students au vipi tusaidiane ili tuweze kumfanya kila mtu awe uptodate
1 Reactions
7 Replies
1K Views
UKISIKIA KWAMBA MWENDOKASI BILA UMAKINI UNAUWA ..BASI KUUWA KWENYEWE NDIO HUKU... BODI YA MIKOPO/HESLB... Kwa mujibu wa Bw. Badru, kundi la kwanza linajumuisha wanafunzi waombaji wa mikopo wenye...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom