Kama ni watu wenye utash ni walimu. Hawa ni wanataaluma makini na muhimu.
Walimu wana kila haki na umuhim katika jamii.
Huu Uzi iwe kwa ajili ya wao kupeana updates. Ninaamini walimu wanasoma...
Nimejaribu kufuatilia selection za mwaka huu nimeshindwa kuelewa kabisa, kwanza navyofahamu TCU yaani tume ya vyuo vikuu Tanzania ndiye mwenye dhamana na elimu yote ya juu ikiwa ndsie kinara wa...
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu,siku moja katika pita pita zangu kwenye mtandao nilikutana na tangazo katika tovuti ya wizara ya elimu kuhusu nafasi za kwenda kusoma...
Chama cha waalimu tanzania(CWT) ni chama cha waalimu cha muda mrefu sana sasa kwa tanzania......Chaajabu chama hiki kimekuwa chungu na mwiba mkubwa kwa waalimu wake kwa muda sasa.....
Maranyingi...
Busara ni kitu kidogo sana ndugu zetu ila kina maana kubwa mno. Nawahakikishieni msipokua na hekima basi hamtafanikiwa maishani mwenu.
Najua mnajielewa kuwa wanafunzi wa masomo ya sanaa/art mpo...
Kuna kijana aliomba mara ya kwanza kwenda kusomea certificate ya mambo ya afya na yalipotoka majina hakuchaguliwa sasa tukaamua kumuombea tena kwa awamu ya pili lakini safari hii akiwa...
Kusema kweli mimi ni mfuasi wa Magufuli wakati anaingia madarakani nilifurahi sana na kweli kwa asilimia 100% alitimiza niliyokuwa ninawazia moyoni mwako ila kitu kimoja kikubwa ambacho kanikera...
SERIKALI YAKANUSHA KUHUSU KUANZA KUTOA AJIRA NA KUPANDISHA MSHAHARA SERIKALI YAKANUSHA KUHUSU KUANZA KUTOA AJIRA NA KUPANDISHA MSHAHARA | Tanzania Sec School
Mi naona watoto wa masikini wengi ni artist [emoji439] kwa sababu wanasoma SHULE za kata ambazo hata miundo mbinu mfano maabala ni mibovu hivo wakitoa priority kwa science badoo watoto wa masikini...
Habarini wakuu
Katika maisha ya waafrica tunakumbwa na magonjwa, umasikini n.k mambo ambayo yanatufanya tuwe nyuma kimaendeleo ukilinganisha na mataifa nje ya Africa, kuna misemo mtaani kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.