Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wana JF kuna taarifa zimezagaa kwamba bodi ya mikopo imefuta majina ya waliopangiwa mkopo na kuanza process upya kuna ukw wowote hapa ¿
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Viongozi wamewataka wanafunzi wote, kutosaini pesa za kujikimu mpaka pale wanafunzi wote watakapopewa elfu nane na mia tano kwa siku kama ilivo kawaida. Sikiliza audio KITENDO cha wanafunzi wa...
11 Reactions
255 Replies
40K Views
Kwa taarifa zoote zinazohusu chuo cha chetu cha IFM ziwekwe katika huu uzi TAARIFA ZOOTE HAPA
2 Reactions
3 Replies
2K Views
(Math and Phiysics) which is better marketting and salary
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu hali inazidi kuwa ngumu..!! Siku hizi nakula mlo mmoja tu usiku. Tena wali maharage 1000/= Bila hata maji ya kunywa. Wazazi hawana pesa wanasema wamekopa mpaka wamechoka. Naombeni ushauri...
4 Reactions
158 Replies
14K Views
Naombeni kuuliza kozi ya aircraft maintanance engineering inayotelewa kwa diploma VP ajira yake mbele na ada kwa anaejua?????
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mdogo wangu aliapply chuo nacte toka mwezi wa sita mpaka leo hajapata majibu je kuna uwezekano wa kupata? Yeye ni diploma holder ya information technology na ana GPA ya 3.7
1 Reactions
4 Replies
988 Views
Wadau kama mada inavosema apo juu.. bahana npo udsm first year nliomba civil na electrical but nimechaguliwa civil sasa natakaa nihamiee Electrical Vipi wadau naombeni ushauri wenu katika haya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni mnisaidie kuniambia ni vitabu gani bora kwa kusomea especial ngazi ya certificate na Diploma!?
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Tujuzane yanayojiri, tunayoyajua na tusiyoyajua. Tushirikiane tukaanze masomo.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sorry wakuu nimeulizwa swali nikashindwa kulijibu ......eti unaeza ukasoma certificate ya ICT then diploma ukahamia accountancy????[emoji389]
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau kwa anaetakaa kuhama chuo afanyeje na afate hatua zipi
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habara wakuu Naandika haya kwa kuwa kuna baadhi ya vyuo nchini vikiwa vinatoza direct cost kubwa ambayo no zaidi ya ada ya semester moja Mfano kunachuo kipo bagamoyo ada take n 1250000/=tshs...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa anayejua lni udom wanatoa selections za diploma make wanazingua. Sanaa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimechaguliw awamu ya tatu na coz nloipata niliijaza mwisho na sikuwa na malengo nayo, naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kufanya transfer kwa muda huu?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Aliyekuwa Waziri wa Elimu katika Serikali ya Awamu ya 3 ya Raisi Benjamin Mkapa, Joseph Mungai, afunguka na kujadili kwa kina kuhusu mafanikio yaliyopatikana katika elimu Tanzania wakati wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Husika na Kichwa cha Habari tajwa hapo Juu. Msaada....!
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Samahanini wakuu nilikuwa naomba kujua kwamba kwa waliochaguliwa kcmc je masomo yashaanza, kama yashaanza yameanza lini kwa MD..
1 Reactions
4 Replies
1K Views
HAbari wanandugu wa jamii forum Hivi anavyofanya Ndalichako ni kuua elimu ama kuinua elimu? Kwa sisi wenye diploma tunaotaka kujiunga na chuo kwa mwaka huu wa masomo wametuzungushaa weee mwsho...
4 Reactions
47 Replies
8K Views
Kwa yeyote anayesoma Koz ya Medicine kampala international university dar es salamu naomba anijulishe topic ambazo wamdshasoma Kuna mdogo wangu bado anasotea Ada ila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom