Wakuu naombeni msaada ni kozi gani itanifaa kusoma chuo nimemaliza form 6 HGL kati ya
POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION UDSM, LAW UDSM , HUMAN RESOURCES MANAGEMENT TIA, AU REGIONAL OR...
Wakuu kipi bora kati ya elimu bure kutoka darasa la kwanza mpaka kidato cha nne au mkopo kwa wanafunzi wote wa ngazi ya chuo kikuu bila kujali kozi husika ?
Nimekuwa nikifanya application awamu ya pili na ya tatu. Awamu hizo zote nilikosa kupata chuo. Leo tar 24 limefunguliwa dirisha kwa awamu mpya ya nne ya kuchagua tena vyuo .
Ila cha kushangaza...
Habari wanajf.
Nilikuwa nauliza madhara ya kuhama kozi katika chuo hicho ulichopangiwa na Mikopo inakuaje kama umepata alafu unahamia kozi nyingine je kunakuaga na shida gani
Sielezei sana ila nina uhakika kwa muelewa atakuwa amekwishaelewa,hapa serikali ilibidi iwe inatuma yenyewe vifaa full kwa ajili ya mitihani na siyo kuwapa walimu waandaaji pre-instructions ambazo...
Habari zenu wana JF.
Mimi ni mmoja kati ya Miderector wanao dahili wanafunzi TCU. Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kuwapa mawazo na mbinu katika uchaguzi wa vyuo kulingana na matokeo yako.
Kwani...
Mtu yeyote alorudia mtihani kwa 4m 6 kwa pcm au pcb anipe mrejesho kweli kuna kutoka manake kuna ndugu yangu kapata 3 ya 15 anataka kurudia mshaurini VP kuna kupenya au inakuaje????
Salam Wanabodi,
Tujitwike mzigoni.
Ikiwa zimepita siku chache tangu serikali kupitia Naibu Waziri wa Elimu Mh. Stella Manyanya kutoa taratibu mpya juu ya utoaji wa Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu...
Mh.Eng.Stella Manyanya-N/Waziri wa Elimu,utamaduni na Michezo.
SERIKALI iko katika mkakati wa kuwabana wanafunzi wanaopewa mikopo katika fani za kipaumbele, kutumikia katika utumishi wa umma...
Wadau,Kama umechaguliwa Eckerniforde Tanga university au Chuo chochote kilichopo jijini tanga,Mimi Ni mwenyeji ambaye nimezaliwa Na kuishi Sana jijini tanga,,,,,
maisha ya tanga hayatofautiani Na...
Wandugu.....
Mdogo wangu kachaguliwa hiyo kozi chuo kikuu cha sokoine sua,,,,naomba mtu ambaye yuko kwenye hiyo field au yeyote mwenye kujua anisaidie yafutayo::
1. Kama ni ajira unaajiriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.