Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mtu Huyu alitutia Adabu sana, kama sijakosea Alihama lyamungo 2004, na kwa miaka hiyo aliendesha shule kwa mafanikio makubwa sana, any way, mwenye Kujua Alipo tafadhali anipatie taarifa
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Hivi idadi ya walio omba mkopo ni wangapi? Na Raisi wetu naona kasema 25 elfu mbona kuna sehemu kuna idadi ya 88 elfu ndo walio omba au kipi sijaelewa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani tunavotoa baadhi ya taarifa humu JF ziwe taarifa zenye uhakika na uthibitisho kama unatoa thread yako inayohusu Habari nyeti zaidi toa na evidence ili mtu awe na uhakika wa Habari husika...
0 Reactions
1 Replies
492 Views
habari zenu. ..nimechaguliwa Rucu BAED sijui napataje joining. ..naomba msaada
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ivi awa TCU wanaaminisha nini kwani eti wanafungua round ya 4 kwa ajiri ya watu waombe vyuo Tena ilihali majibu ya round ya 3 awajato?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye uelewa anijuze ugumu wa mech ukilinganisha na civil na ajira zinapatikana?? Mi nimeappl mwaka huu huenda nikachaguliwa mech
0 Reactions
14 Replies
3K Views
jamani hii serikali inatutafuta charohoni yaani kelele zote zile bado hawajasikia wametoa 2nd bach ya boom kwa asilimia wamebandka hii leo udsm mmmmm sasa tumechoka
1 Reactions
1 Replies
785 Views
Msaada kwa anaejua
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Napenda kujuzwa atom ni hai au ni mfu? (chembechembe ndogo zinazounda kitu)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndalichako anasema watu wanapotosha wanafunzi waliokosa mikopo siyo 66000 Bali ni 33000 tu. Naona kama watu wanacelebrate hii inashangaza ina maana wanafunzi 33000 kukosa mkopo kati ya wanafunzi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mwenye joining instructions ya mtwara cotc kwa diploma ya clinical medicine 2016/2017 plz naomba anitumie.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jf, natafuta shule nzuri ya mtoto (baby class) ya boarding kwa maeneo ya mkoa wa Kilimanjaro au arusha ambayo wanacare vizuri watoto hasa katika chakula na usafi pamoja na elimu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
My Argument Is Based On the fact that most of lecturers are very poor in imparting knowledge thereby making our graduates both incompetent and also unmarketable given current stiff competition in...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Anaejua kvigezo vilivyotumiwa kutoa mikopo kwa wanafunz wa masomo kwa mwaka 2016/17 katika form ya mkopo naomba msaada hasa waliojaza form za mkopo maana kuna mzee ananibishia sana mwanae kukuosa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Hivi bodi ya mikopo ya elimu ya juu itajuaje kuwa mwanafunzi katoka katika maisha magumu au mazuri?nisaidieni
0 Reactions
7 Replies
744 Views
Habari wakuu, Mimi nimeripoti chuo jamani hali sio poa wajameni watu wanazinguliwa kufanya registration NO TUITION FEE NO REGISTRATION OTHERWISE GO BACK . Uzuri wa huku mbeya life is cheap...
19 Reactions
140 Replies
12K Views
Naona kimyaaaaaa wamekubali serikali yao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1 Reactions
3 Replies
2K Views
LEO NIMEAMUA KUTOA YA MOYONI KWA NITAKAOWAUDHI NA KUWAKERA TUSAMEHEANE SABABU HAKUNA ALIEMKAMIRIFU kumekua na swala linalozungumzwa sana na watu walio wasomi na wasio wasomi kuhusu masomo ya...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
nimechaguliwa certificate of clinical oficer chuo cha musoma nimeajiriwa na serikalini kwenye toanroad mara naingia shift ya usiku je ?naweza soma huku nafanya kazi maana najisomesha na sijapata...
1 Reactions
4 Replies
897 Views
Back
Top Bottom