Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Maisha yatakuaje vyuoni hasa mwaka wa Kwanzaa MAANA wanafunzi wengi tunatoka familia za wenye uwezo wa chini Wazazi wetu walitegemea tumefaulu vizuri na lazima tupate MKOPO kumbe mh daaaaa Wengi...
0 Reactions
2 Replies
971 Views
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Sydney, Australia Katika kutathmini viwango vya elimu duniani, wengi wamekuwa wakiangazia sana ubora wa vyuo. Lakini kwa jumla, ni mataifa gani yenye wanafunzi walio...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Usiambiwe tu ukapenda nakuitikia ndio hapohapo. Fikili kwanza kwanini umeambiwa na ndipo utoe jibu la kukubali au kutolidhiana na jambo hilo. Rais wangu wewe ni mchapakazi sana na huruka hii ya...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Wapendwa nisaidieni,nini kipimo cha umasikini katika familia?
0 Reactions
2 Replies
36K Views
Nimechagliwa doctor of medicine pale Hubert Kairuki lakini sina karo. Naombeni msaada
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Hivi utoaja wa mikopo huwa unatolewa kila chuo mda wake au hutolewa kwa pamoja?? Tutumie reference ya utoaji mikopo mwaka jana Mnieleweshe hili
0 Reactions
5 Replies
787 Views
Tovuti ya chuo cha Usimamizi wa Fedha imekuwa hacked na Anon plus. Wanafunzi hawawezi kuona chochote wala kufanya chochote sio matokeo wala kufanya registration.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Lini mnatoa majina jamani?????????????????????[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] ================ Selected Candidates for Bachelor Degree...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwanza natanguliza pole kwa vijana wa Kitanzania ambao mmekosa mkopo. Mtu akijivika nafsi zenu atagundua ni namna gani mmeumizwa na ukosefu wa mkopo kwa ajili ya elimu ya Chuo kikuu. Moja ya...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
TAARIFA KWA UMMA Wizara ya Mikopo chuo kikuu Dar es salaam inapenda kutoa mrejesho kama tulivyoahidi kurudisha mrejesho kwenu baada ya kuwafikia ama kuwasiliana na mamlaka za juu zaidi yaani...
3 Reactions
58 Replies
10K Views
Gharama za kuomba Mkopo; Application 30,000 Internet 2000 Passport 5000 Mahakamani 20,000 Ofisi ya Kijiji 10,000 Printing 5000 Bodaboda 2000 Ems 13100 Jumla 87,100 Mkopo 77,100 Apo ndipo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
MAAJABU KUHUSU MIKOPO YA WANAFUNZI VYUO VIKUU MWAKA2016 .(CONFUSION ABOUT LOAN ALLOCATION TO HIGHER EDUCATION STUDENTS) 1. Wanafunzi wa mchepuo mmoja, wanaosoma masomo sawa, assignment zao zote ni...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni mpaka pale Bodi ya mikopo ya elimu ya juu itakapothibitisha kama itaendelea kuwalipia ada wadahiliwa , Hii ni kwa wale wa mwaka wa pili na kuendelea . Mkurugenzi Mtendaji wa bodi hiyo Abdul -...
11 Reactions
156 Replies
17K Views
The OECD's top 10 highest performing graduates Japan Finland Netherlands Australia Norway Belgium New Zealand England United States Czech Republic Higher education has a strong sense of...
0 Reactions
0 Replies
521 Views
JUMUIYA YA WANAFUNZI WA TAASISI ZA ELIMU YA JUU TANZANIA (TAHLISO) TAARIFA KWA WANAFUNZI WA TAASISI ZA ELIMU YA JUU YAH...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Je nacte wanaweza kutoa option kwa wanaotaka ku transfer tena ??? Na kama watatoa tujuzane[emoji310]
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu, nmewahi kupita hapo mwaka mmoja uliopita, nina shida na jambo fulani hivi, naomba kama kuna wanachuo wa mwaka wa kwanza walioanza masomo ama wa mwaka wa pili wanaoendelea tuwasiliane nao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mwenye kufahamu mpwapwa school of nursing anielekeze jinsi ya kufika
0 Reactions
3 Replies
4K Views
kuna yeyote alieomba chuo kikuu akiwa na cut off ya point 3 kwa masomo mawili kushuka chini nikimaanisha yani kapata may be DEE au chini ya hapo tcu ikampangia?
0 Reactions
1 Replies
803 Views
habari za mda huu wadau nataka kufanya mitihani ya Chartered Institute Procurement and supply UK level 3 (diploma) ningependa kujua upatikanaji wa materials na ghalama anayejua please....
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Back
Top Bottom