Katika gazeti la Mzalendo la leo limeandika kuhusu baadhi ya vyuo nchini kutoa vyeti feki. Kutokana na kashfa ya kujiuza kwa wanafunzi wa vyuo vikuu huenda kujiuza huko kukaanzia kwa wakufunzi ili...
Unapata chuo, chuo chenyewe ni cha private na ada yake nu zaidi ya million 5, hujapata mkopo na kozi yenyewe ni udaktari. Dah, inauma sana unajua!
Mtu unaacha kozi ya maana inaenda unaiangalia...
Daaaaa pindi nipo school advance nilijituma kusoma ili nipate chuo cha government na chenye haz but TCU shikamooo mmekata NDOTOOOO za wadau amna namna
Haya nao Bodi ya mikopo nao wanataka...
Kwa wale wa university of dsm especially first year waliochaguliwa kujiunga CONAS katika department ya GEOLOGY.
HAPA MKUTANE MPATE KUPEANA UPDATES ZA MWANZO MWANZO.
Mnaoendelea na mwka wa pili na...
Bod ya mikopo wanatakiwa watoe majina mapema kwa wanafunzi wanaoendelea kwenye vigezo na waliopata mkopo kwan wapi vyuoni tayar.nn kukalishana mpana first year wote wapangiwe
1.Bodi ya mikopo hivi mpaka sasa mnategemea nini? kuna vijana wamepata post za vyuo wanavyotakiwa kwenda vyuoni wanahitaji kujua wanatakiwa kulipa kiasi gani kama direct cost lakini mpaka sasa...
Habari wadau.
Hivi inawezekana kubadili coarse chuoni ukaenda coarse nyingine maana mimi nilimwachia mtu akanifanyia application then nikawa nimeenda JKT sasa nataka nikabadili nisome BAED badala...
Wakuu habari za majukumu,
Naomba msaada wa vyuo ambayo vinatoa degree ya ICT, Computer Science au IT vilivyopo hapa Dar es Salaam kwa evening classes.
Asanteni.
Naandika post hii Leo SAA 01:40 USIKU 16/10/2016 . Sitasahau usiku huu nikiwa nmekosa furaha, amani na usingizi lakin yote nimesababishiwa na HESLB !.
Inasikitsha pale ambapo masikini anafanya...
Ni takribani wiki moja na nusu hivi tangu video ya kipigo cha Mwanafunzi ilipokuwa ikisambaa ktka mitandao ya kijamii huku serikali ikifanyia uchunguzi suala Hilo na kugundua tukio hilo lilikua...
Nakumbuka Ulipokuwa Tabora Kwenye Kampeni Zako Za Kuomba Ridhaa Ya Wananchi Ya Kukuchagua Wewe Kuwa Raisi ili Uje Uwatatulie Shida Zao! Ulieka Ahadi Ya Kuwa →→→"Yeyote Yule Atakaechelewesha Mikopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.