Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwa anaeifahamu shule hii naomb aniambie au ikiwezekana aniPM kabisa.
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habar wana jf,,naomba kama kuna mtu mwenye joining instruction ya st joseph anisaidie
0 Reactions
11 Replies
4K Views
jamani jamani hii supply chain mbona hamtutoi kila paper haieleweki! inakatisha tamaa
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mada zinazohusu bodi ya mikopo zimekuwa nyingi jukwaani kutokana na kipindi hiki kuwa cha ujazwaji wa fomu husika, hatusemi kuwa tunakuwa mbadala wa HESLB katika kujibu maswala...
4 Reactions
836 Replies
154K Views
Jamn anae jua jinsi ya Ku angalia kama umepata mkopo anielekeze,nimechaguliwa TIA,ya DSM
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Ratiba ya mihula ya vyuo vikuu inafahamika. Inafahamika pia kuwa kuna wanafunzi ambao hawana namna nyingine ya kusoma bila mkopo. Kama vyuo vimefungua hawa heslb wanadhani watu watajikimu kwa...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
HI.......................................... NDUGU ZANGU MIMI NIMEPATA NAFASI YA KUSOMEA UTAALAMU WA MAABARA ZA BINADAMU NGAZI YA DIPLOMA.ILA KWA SASA NASOMA UALIMU NGAZI YA DEGREE KATIKA CHUO...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwanafunzi wa DUCE anayehitaji hostel za mbagala Tuwasiliane Block B
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Tovuti ya IFM, www.ifm.ac.tz imepigwa kipapa na hackers. Ilikuwa miongoni mwa tovuti dhaifu kabisa nchini ingawa inadaiwa chuo kinazalisha wataalamu wa IT. Ikiwa imeondolewa hewani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naombeni kuuliza kwa wale walioomba mikopo bodi ya mikopo, mkiingia kwenye akaunti zenu mnakuta mmeandikiwa nini? Mi nimewaangalizia watu wawili nakuta wameandikiwa hawakuomba mkopo kwa...
2 Reactions
167 Replies
21K Views
MAJINA YA WAOMBAJI WAPYA WA MIKOPO KWA 2015/2016 Tunapenda kukufahamisha kuwa Awamu ya Kwanza ya orodha ya majina ya waombaji wapya wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 inapatikana kupitia...
0 Reactions
388 Replies
83K Views
Njooni hapa wote wenye ujuzi huo na tujuzane mengi juu ya fani yetu.
0 Reactions
5 Replies
866 Views
Naomba kusaidiwa kwa hili, leo kila nikifungua website ya Open University of Tanzania yaani www.out.ac.tz kinachokuja ni muziki wa kiarabu. Nisaidieni niweze kufungua web hiyo.
1 Reactions
9 Replies
4K Views
jaman habari? tcu wamefungua kwa round ya tatu,, je unaweza ukaaply kama new applicant?
0 Reactions
26 Replies
2K Views
  • Closed
Ndugu zangu poleni sana kwa majukumu ya kila siku na mawazo makali kwa wale ambao bado tulikosa mikopo kwa first batch ya bodi ya makopo.Ilihaidiwa kuwa tarehe 1/10 zingetolewa form za kukata...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Habari wana jamvi. Poleni kwa wale waliokuwa katika heka heka za selection ya chuo na maswahibu yake kupitia TCU. Ila tushukiru mungu hadi hapa tulipofika. Okay naomba niende moja kwa moja...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa miaka 19 Baada ya kumaliza kidato cha 4 mwaka 2014 katika shule ya serikali na kupata GPA 0.6 Yaani Math F Civics E Kiswahili C Geography F History D Biology F E.Language D...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
habar .kuna baadhi ya watu majina yetu yapo kwenye link ya TCU Tumechaguliwa vyuo lakin tukiangalia kwenye list ya majina chuoni hatupo .mfano mm TCU wamenionesha nimechaguliwa UDOM lakin kwenye...
0 Reactions
1 Replies
764 Views
Back
Top Bottom