Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Watalaam Naomba ushauri wenu hapo. NACTE selection nilipangwa Ordinary Diploma in Medical Laboratory, TCU selection Bachelor of Science Environmental Science and Management. Niko njia panda...
0 Reactions
36 Replies
11K Views
Zikiwa zimebaki siku kama 10 kwa CAS kuacha kukubali maombi mapya kuna kitu kinanitatiza. Unapochagua program CAS inaonyesha idadi ya waombaji wengine waliokwisha ichagua program husika (nafasi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chuo kikuu MUM kimetangaza nafasi kwa wanafunzi wanaotaka kuhamia chuoni hapo,hii inawahusu wanafunzi wote waliochaguliwa kozi mbalimbali za undergraduate vyuo vyote Tanzania 2016/2017.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tukutane hapa wadau tuliochaguliwa kozi zote SAUTI-Mtwara
0 Reactions
27 Replies
5K Views
MTU anapokuambia anasomea Logistics anakuwa ana manisha nn,na ni masomo yapi anakuwa amechukua tangu akiwa A-Level.mana mwenye ujuz na utash juu ya hili anisaidie kudadavua
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Habari wakuu! Ninamdogo wangu anasoma A-level katika shule (flani) ya serikali mkoani Mtwara anataka kuihama shule hiyo. Hii ni kwasababu anadai kuwa kuna uhaba wa walimu wa sayansi katika shule...
0 Reactions
7 Replies
874 Views
Habari wakuu. Aise nimechukizwa sana na tabia ya admission officer wa chuo cha tumaini mbeya. Juzi nimempigia simu kumuuliza .maswala ya usajili wanasitisha lini, alichokua anaongea sikielewi...
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Hebu tupumzike kidogo na ngono, tujikumbushe kidogo hisabati
0 Reactions
4 Replies
787 Views
samahani ningependa kujua kuhusu muccobs je wanatoa admission letter na kama wanatoa tunazipataje
0 Reactions
3 Replies
506 Views
Hawa wana mpango gan na sisi maaana hata first round hawajotoa ...naakati tayar vyuo vngine vshatoa first na second round.....sa cjui watatoa lini ......?? Na mda hautaki kuelewa kabisa...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
sua
unadownloadije form za registration za sua???
2 Reactions
7 Replies
903 Views
Kwako Waziri wa Elimu! Chuo Kikuu hiki ni jipu lililoiva sana na sasa linaelekea kuoza. Naomba please ukitembelee chuo hiki maana kina madudu kibao. Uongozi ni tatizo kubwa sana hapa.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf,mm ni kijana na nimesomea cert ya procurement&supply na nina kipaji cha utangazaji ila bado naendelea na diploma ya procuremnt,ila nimepata nafasi yakusoma course fupi ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari za jioni, naomba kujua hii bachelor of science in information technology with business ikoje hyo mwenye kujua anifahamishe Asanten.
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Habari zenu, Naombeni msaada wa mawazo mdogo wangu kafaulu na alipata division 1. kajaza vyuo na majibu yalipo toka ilionesha amechaguliwa KUJIUNGA NA CHUO CHA MUST . Ambacho alijaza architecture...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wapendwa naomba namba za simu za TCU zinazopolewa, zile za kwenye website yao hazipokelewi. Profile yangu imefungwa chuo nimekosa napiga simu hawapokei.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nimehitimu chuo cha Ushirika ( MUCCoBS) mwaka 2012 BAF na sasa ni mwajiriwa wa Serikali. Niulize swali lolote nitakujibu na kama kuna waliosoma MUCCoBS tutasaidiana kujibu maswali yenu. Karibuni
0 Reactions
16 Replies
4K Views
SUA
unafanyaje apo wadau
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakubwa habari zenu, naomba kuuliza kama chuo cha IFM wametoa majina ya walioomba mara ya pili maana kila nikicheki nakuta wameandika 1st batch ila kila nikiuliza naambiwa tayari
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Niliapply diploma second round kupitia nacte, baada ya muda nikaambiwa nimechaguliwa SUA. Jana SUA imetoa majina ya waliochaguliwa second round huku jina langu likiwa halipo. Je nitakuwa nimekosa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom