Wakuu habari zenu....
Ni matumaini yangu mu wazima na buheri wa afya kwa wale wagonjwa ugueni pole.
Dukuduku langu ni juu ya watu wachache humu kwenye jukwaa la elimu, watu hawa hupenda...
wakuu naomba msaada wenu kwa mwenye kukifahamu chuo cha Safina teachers college kilichopo kinondoni nawaomba mnisaidie website ya ikichuo,naombeni msaada wenu,, 0658831336
ni hivi naomba kujulishwa wanajamvi hv wanafunzi waliokosa selection kidato cha tano hatima yao ni nn je serikali haitambui uwepo wao?? nashangaa inakuwaje mwanafunzi ana qualification zote lakin...
Habari zenu wadau,
Kifupi ni kwamba mbali na mambo ambayo niliyosomea shuleni (mambo ya biashara kwa ujumla wake), natamani nipate ujuzi katika maeneo mengine kwa kujisomea/kujifunza mwenyewe...
Baada ya purukushani za muda mrefu hatimae NACTE wametoa selection status za diploma holder kua your provisionally selected to one of your choice so be kindly and wait...
Jamani naombeni niulize eti mbona nikiingia kwenye akaunti yangu ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu inaandika did not apply for higher student loan for 2016/2017? Wakati nili apply tu vizuri na...
kwanza nawapongeza form six leavers wote pcb na cbg waliofaulu vizuri mitiani yao ya taifa.
lakini cha kushangaza, mpaka sasa wahitimu wengi wenye ufaulu kuanzia div2 pcb na baadhi ya div1 cbg...
Jamani, sisi wanafunzi wa St. Joseph walioamishiwa RUCU kupitia Marian tumesumbuka sana toka mwezi wa nne hadi leo, hatujapata mkopo.
Tuna vigezo vyote na tumekua tukihangaika kuja Dar kufatilia...
Ndugu wa JF family naomba kuelezwa kuhusu ulipaji wa hostel km Heslb wanahusika au hapna,maana cc wa mabbo tunatakiwa kulipa 73k,je mkopo ukitoka hyo hela inakuwepo au hapana,
Habari zenu wakuu,
TCU wameruhusu maombi ya mara ya tatu ikiwa bado baadhi ya vyuo mfano Mzumbe Mbeya, NIT hawajatoa majina ya second round. Je, kwa walio na taarifa profile ya mtu anayetakiwa...
Poleni sana wadogo zangu na kipindi hiki kigumu kwenu katika kufuatilia mustakabali wa elimu yenu ya chuo kikuu.
Ushauri wangu kwenu ni kwamba jitahidini kadri ya uwezo wenu kutafuta elimu bora...
Habari, naomba msaada kwenye Ku apply kidogo, Mimi nlianza kuomba tangu awamu ya kwanza Ila sijawahi kupata Wala nafasi kwenye faculty nlizo omba hazijawahi kujaaa mpaka leo pia Nina division 2...
Wakuu!
naomba KWA ANAELEWA anisaidie mchanganuo wa hii kitu Masters by "Thesis , coursework and dissertation" pale Open University of Tanzania.
Na vipi gahrama zao kwa DST (Distance Learnig), na...
Vp inakuaje kwenye university guidebook ada ya chuo iliyoweka itofautiane na ada inayotozwa mahali husika.
Mfano AMUCTA kwenye guidebook ya TCU kozi ya BAED ada ni laki950
ila kwenye fees...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.