TCU wametangaza kufungua awamu ya tatu ya udahili. Nawafahamu diploma wengi wenye gpa 3.5 ambao hawajachaguliwa na wala hawakupata nafasi ya kufanya chaguzi mpya kwa round ya pili na sasa ya tatu...
Tumeomba hichi cha Kilimanjaro Christian Medical University College kwa degree za Afya kwanini hadi leo vyuo vyote tayari majina isipokuwakuwa chuo hichi au ndio wamegairi kutoa mafunzo ya...
Wadogo zetu tokea tumewafanyia application za diploma tena kwa gharama kubwa ya 50000, tokea mwezi wa nane hadi sasa hawatoi majibu, huo ni uzembe mkubwa sana maana wanapaswa kutoa majibu mapema...
Kuna baadhi ya vyuo vilichelewesha majibu kwa wanafunzi wa Diploma hasa waliofanya supplimentary hivyo awamu ya kwanza na ya pili hawakupata je hawa hayima yao vipi?
wadau amani iwe kwenu.
Leo kuna mtu kanipa namba kwa maelezo yake anahusika maswala uhamisho na yuko tamisemi kwa kuwa na mimi mojawapo wa wale wanasubiri kuahama maana taratibu zote...
Wanajamvi salaam!
Tokea mwaka jana kumekuwapo na pesa kiasi cha shilingi 20000 huwa tunalipishwa kwa kila mwanafunzi inaitwa quality assuarance. Mwaka jana baada ya serikali ya wanafunzi...
Wakuu...salamu kwenu nyote
Kuna mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu...alikuwa anasoma PCB na alipata divison TWO points 10
lakini mpaka naandika haya hajafanikiwa kupata chuo...si round ya...
Mwaka huu TCU wameshafungua maombi mara mbili ila deadline ya mara ya pili imefungwa kipindi baadhi ya vyuo vilikua bado havijatoa matokeo ya diploma especially wale waliokua na supplimentary...
Nliomba kujiunga na chuo round ya pili,sasa had Leo sielew nimechaguliwa wap,je naangaliaje,maana nmeingia kweny profile wamefunga,na vyuo nivyochagua pia sion majina,au bado hawajatoa
Daaaah wadau imekaaje hii naona bodi ya mikopo ipo kimya wakati UDSM (Home of Vipanga) na SUA wazee wa Screen test (Hard science) wanafungua wiki hii na wiki ijayo respectively. Au gvt bado...
Habari jaman walioomba nacte wakitokea diploma kuna yeyote ameshapata chuo lakni mwanzo hakuwa na GPA YA 3.5? Tujuzane jaman maana mm nlkuwa na 3.4 walposhusha nkawa na uhakika wa kupata chuo ila...
Habari zenu...mbona diploma tcu/nacte awatupi maelezo yoyote kuhus matokeo yanatoka Lin..watu wanabun tu Mara tarehe 5 wengne kum adi wengne 15 kwanin wasiwe wawazi maana take kun Baadh vyuo...
Jamani habari ya muda huu! kwa yeyote mwenye updates kuhusu post za second round zilizo toka za vyuo hivi atujuze maana presha muda unazidi kwenda alafu kimya tu. Nawasilisha.
Nataka Kubadili Degree Programme,
Pindi Nitakapo Kwenda Kufanya Usajili, Nimechaguliwa Bachelor Of Philosophy With Education.
Nataka Nika Chukue BAED ,Je inawezekana?
au kuna athari zozote...
Habari ndg watz wenzangu.
Wiki jana tuliona taarifa ya mwanafunzi Sebastian Chingulu kuadhibiwa na walimu-wanafunzi kinyume na utaratibu.
Mwanafunzi huyu alitenda kosa la utovu wa nidhamu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.